Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,904
- 1,364
Kwani nani anaihitaji hiyo CCM yako? Tulishakuachia zamani!
Ichukue na magamba yake, mapya na ya zamani.
Kwani nani anaihitaji hiyo CCM yako? Tulishakuachia zamani!
Mkiambiwa CCM imeishiwa sera hamtaki!:juggle:
Hakuna humu ndani mtu aliyekuwa na mawazo na fikra pevu kama Mwalimu, kama yupo anyooshe mkono. Na yeye Mwalimu aliisha sema ' BILA CCM IMARA NCHI ITAYUMBA' na ndilo linalo dhihirika hivi sasa
hawa ndio wananipa hasira kujua Ccm walichokua wanafanya...pumbaaafu,ccm amuoni AIBU!?ssa hvi ndo mnajivua magamba?ata nyoka anajivua magamba...
Hivi watu wa Tanzania mbona hamna shukurani? CCM imekutoeni mbali, kumbukeni CCM imezaliwa na TANU na ASP, kwa hiyo Bila CCM watu wa bara na visiwani msingepata uhuru.
Mazuri yote mnayoyaona yanatokana na CCM, elimu uliyonayo ni CCM, maisha yako ya zamani na sasa ni CCM, uhuru wa kuongea, kuabudu na vyombo vya habari ni CCM, jamani mbona mnalaumu uongo?
Kumbukeni hata hivyo vyama vyenu vya siasa mnavyoviita upinzani bila CCM visingekuwepo. Loh! niachieni CCM yangu.
Watu gani nyie msio na shukurani, baba ni baba tu, hata siku moja bega halizidi kichwa hata kama linaonekana ni kubwa. TCCM tutashinda siku zote na miaka yote.
Nawasilisha.
hii avatar ya speaker inaniacha hoi sana...back to topic, ww ccm huijui na hyo sh 500 waliyokupa uwatetee humu watakudai siku wakiachia nchi
Kwani nani anaihitaji hiyo CCM yako? Tulishakuachia zamani!
Ichukue na magamba yake, mapya na ya zamani.
mimi nimebonyeza kitufye cha report abuse hapo juu. kwa kweli ulichoandika ni matusi makubwa kwa watanzania wengi
babu amezeeka mpaka ameamua kujitoa magamba aonekane kijana!aibu lol
Hakuna humu ndani mtu aliyekuwa na mawazo na fikra pevu kama Mwalimu, kama yupo anyooshe mkono. Na yeye Mwalimu aliisha sema ' BILA CCM IMARA NCHI ITAYUMBA' na ndilo linalo dhihirika hivi sasa
CCM yako tushakuachia siku nyingi tunashangaa we hutaki kutuachia nchi yetu, si tumekuachia ccm yako na wewe tuachie nchi yetu
Hapo umechemka mkuu wangu. Unatakiwa kujiunga na CCM ili chama kipate nguvu mpya na si kuingiza chama kingine kuongoza nchi. Umenielewa?
Unabisha nini wewe!!!!!, bila CCM ungekua hivyo? Heshimu wakubwa ndugu yangu.
I do not think if you deserve our attention..........
You simply a coward and your first post reveal that you are just another shit from hell
https://www.jamiiforums.com/utambulisho-member-intro-forum/126350-hodi.html#post1849879
Member
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hodi![]()
Mwenzenu nimekuja JF kuona ujinga wenu mnaofanyaga kwenye hii web.
Mimi naitwa Chimpanzee naishi porini na chakula changu ni matunda na mizizi, ukinipa maziwa nashukuru sana.
Nahitaji kujifunza mengi toka kwenye web hii ila sitaki ujinga maana huko porini hua hatufanyi ujinga.
Asante