Niachane vipi na huu mchepuko?

Kula ubwabwa haimanishi hutaki viazi. What do I mean, mwanaume kuchepuka himanishi hataki mke wake, kumbuka waliumbwa kwa tama
 
Hutaki kulea mtoto wa mchepuko! Huyo aliye tumboni mwa mke wako unauhakika gani kama ni wako? Kilichomtokea aliye mtia mimba mchepuko wako, huenda kilikuwa kinakutokea na wewe. angalia ile 47% isikuhusu!
 
Kula ubwabwa haimanishi hutaki viazi. What do I mean, mwanaume kuchepuka himanishi hataki mke wake, kumbuka waliumbwa kwa tama
sasa si aendelee kulea mchepuko konachomkimbiza nini?
eti nampenda mke wanguuu[emoji14]
nampenda hio vipiii....?
 
Yaani wewe, eti "nampenda sana mke wangu" unajisikia unachokisema kweli? Hadi kutoka na mchepuko ulivurugwa au ndo kurogwa unakosemaee. Vijana siku hizi mmekalia kuendekeza kugegedana sijui ndo sifa..., halafu mnakimbia majukumu yenu. Yaani umchezee na kumchafua na kuchambua chambua papuchi ake aafu unajifanya unammwagaeee? Na bora urogwe tu umezidi tabia mbaya hiyoo. Lakini kama unadhani na kukili kuwa umetenda dhambi tubu kwa MOLA wako na usirudie tabia hiyo chafu ndiyo huyo bidada uchawi wake hautakukuta. Fyuuuu weee
 
Mkuu ni mda muafaka sasa wa kumsaidia huyo mwanadada hata km hutaki kuendelea naye lkn muonyeshe upendo, kuwa na huruma ndugu yangu haijalishi huyo mtoto si wa kwako.
 
Mwambie umeenda kupima umekutwa na ngoma, atakukimbia sana
 
Mfalme daudi na uchamungu wake wote alichepuka iweje huyu jamaa? Acheni kujudge watu
 
Kwa hiyo mwanzo hukuwa unampenda mkeo?,na wakati unabinuana na mchepuko ulikuwa huoni kama unatoka nje ya ndoa?
 
hahaha....naona ulikuwa unabadilisha mboga mkuu sasa kitu kimetiki kote kote!
Jiandae kulea watoto wote mkuu, assume mkeo ndio amekuzalia mapacha😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…