julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Poleni na majukumu ya hapa na pale toka juma tatu hadi leo ambapo tunajiandaa na mapumziko ya siku mbili muhimu katika wiki!
Ndugu zangu hiki ni kitu cha kweli ila ni kwa mara ya kwanza kwangu kukutana nacho! wiki moja iliyo pita nimekuwa nikijaribu bahati yangu kwa mdada mmoja hivi anayeingia ofisini kwake kikazi toka juma tatu hadi juma mosi! saa mbili hadi saa kumi na moja, nimekuwa muda wa ziada namuibukia ofisini kwake na kusisitiza ombi langu lakini hakatai wala kukubali zaidi ya kusema nimekuelewa, alikua na kipete cha urembo nilijaribu kumuomba akanipa, chochote nachomfanyia anarespond postive.
Jana nikamuomba mchezo alilia nikiwa ofisini kwake mimi na yeye hadi nikaingiwa na hofu! nilipo jaribu kuuliza kulikoni kadai alikuwa anaongea na Mungu wake ! nikamhoji hadi machozi akatabasamu na kucheka huku anaona aibu, nikauliza vipi mpango wangu oh, mpaka nipate jibu kwa Mungu wangu ntakwambia! sasa wadau ehm niambieni huyu mdada mnamfkiria ni mtu wa namna gani katika makundi ya wadada? Je mnanishauri kuendelea au niachane naye?
Muulize Mungu wako atakujibu!
ila umenichekesha ni kama mapenzi fulani ya watoto vile...........

mwenyewe sijapenda kabisa kumuhusisha Mola katika hilo ila mwenzangu kulia na kuniambia alikuwa anawasiliana na Mungu wake ni mara ya kwanza kukutana nalo hilo!!!!Msimtanie Mungu PLEASEEEEEEEE!!!!!!!!!!! Kama kukazana mkazane kimya kimya tu hamtakuwa wa kwanza wala wa mwisho!
Mi sio mtu safi wala nini ila huko mliko SIKO KABISAAAAAAAAA!
Poleni na majukumu ya hapa na pale toka juma tatu hadi leo ambapo tunajiandaa na mapumziko ya siku mbili muhimu katika wiki!
Ndugu zangu hiki ni kitu cha kweli ila ni kwa mara ya kwanza kwangu kukutana nacho! wiki moja iliyo pita nimekuwa nikijaribu bahati yangu kwa mdada mmoja hivi anayeingia ofisini kwake kikazi toka juma tatu hadi juma mosi! saa mbili hadi saa kumi na moja, nimekuwa muda wa ziada namuibukia ofisini kwake na kusisitiza ombi langu lakini hakatai wala kukubali zaidi ya kusema nimekuelewa, alikua na kipete cha urembo nilijaribu kumuomba akanipa, chochote nachomfanyia anarespond postive.
Jana nikamuomba mchezo alilia nikiwa ofisini kwake mimi na yeye hadi nikaingiwa na hofu! nilipo jaribu kuuliza kulikoni kadai alikuwa anaongea na Mungu wake ! nikamhoji hadi machozi akatabasamu na kucheka huku anaona aibu, nikauliza vipi mpango wangu oh, mpaka nipate jibu kwa Mungu wangu ntakwambia! sasa wadau ehm niambieni huyu mdada mnamfkiria ni mtu wa namna gani katika makundi ya wadada? Je mnanishauri kuendelea au niachane naye?
Leo siongei sana kuwa huru maana najua kwa nini na napenda usiniogope si kila siku najiandaa kupambana na foolish zipo siku napokea wazo kama hilo lako pia dada mwenyewe ni msukuma kama wewe so sioni shida kukuacha na uhuru wa mawazo najua thread hiyo ya pili nilikuweka pande zipi!https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/554067-niachane-naye-au-niendelee.html
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/547311-mrembo-wa-jf.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-mabaya-kuwahi-kunipata-katika-mahusiano.html
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/522788-njia-panda-imenikuta.html
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/511949-nani-aolewe.html
aiseee nimesahau hata niseme nini!!!
umeonae! mapenzi hata kama mna miaka 75 mambo mengi ni ya kitoto! labda muwe mnatumiana yaani unatumiwa kutoa papuchi na mwenzio fedha ndio huo ukubwa unatumika maana demand zenu ni tofauti!
Mbona nimeshiba!kale kwanza mama njaa ikiisha utakumbuka!
Aisee mimi nasikia watu wanawasiliana na Mungu ila binafsi labda uwezo huo sikupewa!