baba mtokeaji
Member
- Mar 22, 2014
- 8
- 1
Unapokuwa na nia na msimamo ni lazima uisimamie nia yako, binadamu ukikosa msimamo ni lazima uwe mtumwa wa misimamo ya wengime, hivyo niliweka nia yangu ya kugombea ubumge jimbo la Sumve toka nikiwa sekondari, nia yangu iko palepale kama hakutakuwepo na mabaliko ya katiba
nitagombea kupitia chama changu kwani muda sasa wa kuwatumikia wana sumve na kuachana na watawala wafalme, ni muda wa wana sumve kubadili fikra na kuwa na fikra pevu zenye mlengo wa maendeleo. kuna watu wapinga maendeleo watajitokeza kupinga msimamo wangu, nawaahidi na kuwahakikishia kuwa wamechelewa na sitarudi nyuma kamwe kwani huu ni muda wa mabadiliko.