Ni yupi rais atakae tawala 2015.

Ni yupi rais atakae tawala 2015.

hakuna ajuaye kesho wakiiacha hii dunia anyway atakuwa ni mwizi
 
Ahaaa nimemkumbuka labda kingunge ngombaremwiru.kama mugabe anavyotisha
 
Jaman naomba tuendelee kuchangia mawazo alaf mwisho wa yote tupige hesabu ili tuone nani ametajwa mara nyingi na watu tofaut.
Jaman pia tuwe sereuos kwa jambo hili.
 
Back
Top Bottom