Ni yupi mwenye mapenzi ya kweli?

Ni yupi mwenye mapenzi ya kweli?

usiendesema

Member
Joined
Feb 5, 2019
Posts
10
Reaction score
7
Habari wana jukwaa .

Naomba niwashirikishe jambo moja kisha tulipatie jibu lenye uhakika.

Nina shauku ya kufahamu ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya mtu mke na mtu mume ?

Ni mara nyingi nimejiuliza swali hili lakini mpaka sasa bado sijalipatia jibu na nimeona ni vyema nikaliweka jamvini tujadiliane kwa pamoja.

Naamini hii ni nyumba ya watu wenye fikra pevu hivyo ninaimani leo naweza pata jibu la swali lililonitatiza kwa kipindi kirefu.

Naomba tujadili kwa upeo wa juu ikiwezekana tupate na ushahidi wa mjadala wetu na uzoefu tulionao bila ya kuwaonea watu wa upande mmoja.

Ninaimani mjadala utakua na nidhamu nautulivu pasipo lugh a za kuwakwaza wengine katika kile wanachoamini
Karibuni nadhani swali linaeleweka.
 
Ungefafanua katika lipi.

Kwanza hakuna mapenzi ya kweli ila kuna commitment na kuzingatia viapo.

Mfano kwa walio oana wao wanazingatia viapo yale mnaita mapenzi ni mbinu tuu kiapo kisije vunjika except wale watoto ambao bawakufundishwa vizuri

Ni sawa na matusi.. kila mtu anaweza tukana lakini wasiotukana wanazingatia maadili.
Habari wana jukwaa .

Naomba niwashirikishe jambo moja kisha tulipatie jibu lenye uhakika.

Nina shauku ya kufahamu ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya mtu mke na mtu mume ?

Ni mara nyingi nimejiuliza swali hili lakini mpaka sasa bado sijalipatia jibu na nimeona ni vyema nikaliweka jamvini tujadiliane kwa pamoja.

Naamini hii ni nyumba ya watu wenye fikra pevu hivyo ninaimani leo naweza pata jibu la swali lililonitatiza kwa kipindi kirefu.

Naomba tujadili kwa upeo wa juu ikiwezekana tupate na ushahidi wa mjadala wetu na uzoefu tulionao bila ya kuwaonea watu wa upande mmoja.

Ninaimani mjadala utakua na nidhamu nautulivu pasipo lugh a za kuwakwaza wengine katika kile wanachoamini
Karibuni nadhani swali linaeleweka.
 
subiri kidogo nafikiria nikipata jibu nitaku jibu

subi.gif
 
Mwanaume ameagizwa kumpenda mkewe,mwanamke ameagizwa kumtii mumewe
Lakini Naamini mwanamke ndiye anapenda zaidi
 
Kwanini unahisi mwanamke anapenda zaidi elezea/fafanua.
Mwanaume Ni dhaifu
Wanawake Ni imara....
Mwanaume Ni rahisi Sana kushindwa kusimama na mtu mmoja kwa sababu nature Yao Ni udhaifu though Kuna wale wavumilivu

Hali Ni tofauti kwa mwanamke,mwanamke akishampenda mtu si rahisi kutamani sehemu nyingine
Mwanamke anapenda kwa moyo wake wote
 
Habari wana jukwaa .

Naomba niwashirikishe jambo moja kisha tulipatie jibu lenye uhakika.

Nina shauku ya kufahamu ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya mtu mke na mtu mume ?

Ni mara nyingi nimejiuliza swali hili lakini mpaka sasa bado sijalipatia jibu na nimeona ni vyema nikaliweka jamvini tujadiliane kwa pamoja.

Naamini hii ni nyumba ya watu wenye fikra pevu hivyo ninaimani leo naweza pata jibu la swali lililonitatiza kwa kipindi kirefu.

Naomba tujadili kwa upeo wa juu ikiwezekana tupate na ushahidi wa mjadala wetu na uzoefu tulionao bila ya kuwaonea watu wa upande mmoja.

Ninaimani mjadala utakua na nidhamu nautulivu pasipo lugh a za kuwakwaza wengine katika kile wanachoamini
Karibuni nadhani swali linaeleweka.
Mama yako pekee ana mapenzi ya kweli basi..!
 
Back
Top Bottom