Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
duuuh ila kuna imani za kishirikina asikwambie mtu kwenye hivi vitu vya urithiMtoto wa marehemu anapaswa kukabidhiwa nyumba kisheria baada ya kufikisha umri wa miaka 18 ambapo tunamtambua kama ni mtu mzima.
Kwa maelezo yako moja kwa moja naamini huyo mtoto wa marehemu atakua ni wa kike ndomana kazubaa mpaka kufikia umri huo. Kama ni wa kiume atakua mzembe sana na ni haki yake kudhulumiwa.
Saaaaana yani ndo mana wengi wao wanaogopa kudai haki zaoduuuh ila kuna imani za kishirikina asikwambie mtu kwenye hivi vitu vya urithi
Okay mkuu nimekuelewa thanks sanaMtoto wa marehemu anapaswa kukabidhiwa nyumba kisheria baada ya kufikisha umri wa miaka 18 ambapo tunamtambua kama ni mtu mzima.
Kwa maelezo yako moja kwa moja naamini huyo mtoto wa marehemu atakua ni wa kike ndomana kazubaa mpaka kufikia umri huo. Kama ni wa kiume atakua mzembe sana na ni haki yake kudhulumiwa.
Okay mkuu,wacha tuwasubiri..Ngoja wanasheria waje; lakin mtoto ana haki ya kusimamia kwa sasa sababu ameshavuka 18 miaka labda kama awe ana mtindio wa ubongo mali zitakua chin ya waangalizi wengine.
Okay mkuu,wacha tuwasubiri..Ngoja wanasheria waje; lakin mtoto ana haki ya kusimamia kwa sasa sababu ameshavuka 18 miaka labda kama awe ana mtindio wa ubongo mali zitakua chin ya waangalizi wengine.
Tupo pa1 ndg.Okay mkuu nimekuelewa thanks sana
okayTupo pa1 ndg.