Ni yapi mapenzi ya kweli kati ya haya

Ni yapi mapenzi ya kweli kati ya haya

mtzima

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
41
Reaction score
13
Ni kati ya nyuki dume anaejua atakafu kwa kumpanda malkia ili kizazi kiendelee au kinyonga jike anaekubali kupokea ujauzito na anajua akijifungua atakufa,pata picha ingekuwa kwa binadamu tena hp bongo gesti zisingekuwepo
 
Back
Top Bottom