TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,202
- 25,378
Katika hali ya kushangaza tulisimama kwenye foleni kwa takribani 30dkk, baadaye tulipokaribia ndipo nikagundua nini ilikuwa sababu ya ile foleni.
Sasa basi hawa jamaa (mbuzi) wana tabia ya ajabu sana wakiona chakula (nyasi) wanasimama wanakula, wakianza ku_move wanakuja katikatibya barabara na kusonga mbele, we piga honi zako au uwakwepe kwa nia ya kuwa_push aaah wapi, wanaendelea na mishe zao.
My take:
Hivi ni wanani hawa, na mbona ile sheria ya ufugaji mijini siioni ikifanya kazi kwa aina hii ya mifugo sumbufu mjini?