chezea mzaliwa wa sumbawanga wewe, gwajima sali sana. hao wenzio madawa ndio yalikozaliwa. ukipona na wewe mpige majeshi...ila vita ulitangaza mwenyewe kuwa utaanza kumpiga majeshi pengo...
Polisi pasikieni hivyohivyo
Mtu unatupiwa maswali hadi unakosa balansi huku umekaa, mashariki utasema magharibi... juu unasema chini. Kijana mmoja alipigwa kibao kimoja O'Bay Polisi amtaje aliyeiba duka jirani mtaani kwao. Anasema aina ya kibao kile, kama angemjua mwizi hata kama ni ndugu yake angemtaja......