Ni wimbo gani unaokuboa?

naona safari imeanzisha safari lol

haaaa aisee lol

safari hapa hakuna, naangalia specs tu...u know when uko na the latest model in town, huna wasi wasi lol:lol::tea:
 

lawyer umeliona hiloo eeh! Dah. Mnatukatisha tamaa sisi waimba bongo flavour.
 
kuna huyu lymfao wimbo mmoja wanacheza kikameruni (uk)yaani nikiusikia nahisi nasikiliza mashoga!
 
Bongo fleva zote zinakera, zinaudhi zinatapisha. zinapendwa tu na mabinti wa form two na wadada wa secretarial.
Kuna hizi Bongo-gospel ukiwemo huo wa Mwaitege, Rose Muhando, Mbasha etc. ambazo zinamkera hata Mungu ndio maana Tanzania iko kwenye laana
 
1. nyimbo zote za ccm
2. nyimbo za west life
3. zote za mr blue na dulysikes
 
nimekua teeeeeja,teja wa mapenzi,i really hate that song.na ule wa naenda kumwambia mama....uwiii natapika kabisa
 
Nyimbo zote za kuisifu ccm na mmoja cjui kaimba nani anasema lizi one kaongee na mshua unaniboa na siupendi
 
Mi nyimbo za Q.Chillah zinaniboa
 
Hahahaha dah! Hii ni kubwa kuliko,tuendelee kumpiga mawe shetani. Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…