Ni wimbo gani unaokuboa?

Kuanzia leo wewe ni rafiki yangu mkubwa yaaani huyo mtu nisivompendaa?! Kuanzia nyimbo, sura, sauti, video nk. Hata nasikia kutapika savana nilizokunywa
Nimelikubali ombi lako bi dada. Nalog off
 
unaonichukiza ni wataifa, tanzania tanzania,viongozi waliopewa dhamana ya kuongoza,kulinda maliasili na kuwatetea wananchi ameshindwa kuufanya wimbo uwe hai,ndo mana siupendi
 
Nimeishi uswahilini na ndiko naishi hivi sasa, lakini huyu jamaa sijamkubali japo watu wengi wa uswazi wanampenda!
Anazingua sana huyu jamaa,kama ule wimbo wake wa Ugali,huyu jamaa inawezekana ana kizizi cha kupendwa. Nalog off
 
bila kusahau siwapendi wanamuziki wote wa USA.UK.ZAIRE,KENYA,UGANDA,RSA,yaani wanamuziki wote wa nje. Nalog off
 
1. '' Kilimo kwanza''
2.''Uchumi wetu unapaa''
3. ''Tusiichezee amani yetu''
4. ''Tumethubutu tumeweza sasa tunasonga mbele''
Nyimbo zote hizi zimeimbwa na msanii JK.
 
Nyimbo zote za prof J, rais wa masharobaro(oyoyo), tilalila wa mr.blu, nyimbo zote za dudu baya, flora mbasha, uko juu wa lady jay d, zote za miaka50 ya uhuru.
 
Mie hata sizijui majina ila nyimbo zilizoimbwa kwa kubana pua.

Kuna wimbo wa Mpoki unanikera sana.
 
Nyimbo zote za soro mmoja anayeitwa rais wa masharobaro, nyimbo zote za taarabu, nyimbo zote za diamond, blu, bongo fleva kwa ujumla..nying znapotosha kuhusu maadili na utamaduni wa m2 mweusi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…