Ni wiki sasa Tabora matangazo ya TBC kwa upande wa radio yanakatika katika

Ni wiki sasa Tabora matangazo ya shirika hili kwa upande wa radio yanakatakata na zaidi usiku.
Kinachonisangaza ni kuona hakuna mfanyakazi wake (kama yupo) anayejali hali hii. Najiuliza kulikoni huko TBC?

Kwani ni lini labda matangazo ya TBC iwe Radio au Tv yamekuwa katika ubora wake wa kutukuka?
 
Kwani ni lini labda matangazo ya TBC iwe Radio au Tv yamekuwa katika ubora wake wa kutukuka?
Mhhhhh sijafanya utafiti lakini hili la kukatika katika matangazo mbona lipo wazi tu, tuwasaidie.
 
Ni wiki sasa Tabora matangazo ya shirika hili kwa upande wa radio yanakatakata na zaidi usiku.
Kinachonisangaza ni kuona hakuna mfanyakazi wake (kama yupo) anayejali hali hii. Najiuliza kulikoni huko TBC?
Wakati nipo kwenye mchakato wa jinsi ya kuitoa hiyo channel, bado kuna watu wanaipenda? Nimekumbuka wimbo wa Fid Q "Huyu na yule"... Yaani huyu anafanya hiki yule anafanya kile...
 
Huku Mwanza signal zimegoma wiki ya pili sasa, usikivu wake umekuwa wa hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…