Ni wiki sasa Tabora matangazo ya TBC kwa upande wa radio yanakatika katika

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,674
1,685
Ni wiki sasa Tabora matangazo ya shirika hili kwa upande wa radio yanakatakata na zaidi usiku.
Kinachonisangaza ni kuona hakuna mfanyakazi wake (kama yupo) anayejali hali hii. Najiuliza kulikoni huko TBC?
 
Si uangalie ITV, kwani una ndoa na hiyo Tbc? kwanza haieleweki na taarifa zake ni za kizamani kizamani.
Mkuu, sijazungumzia TV. Hata hivo TBC ni chombo cha umma yaani wewe na mie hivo ni jukumu letu kuona mambo yakienda sawa kwani mishahara ya wafanyakazi wake inatokana na kodi zetu.
 
Mkuu, sijazungumzia TV. Hata hivo TBC ni chombo cha umma yaani wewe na mie hivo ni jukumu letu kuona mambo yakienda sawa kwani mishahara ya wafanyakazi wake inatokana na kodi zetu.
chombo cha umma kinachoendeshwa kwa maslahi ya wana Njano njano
 
usifanshe clouds navtu vyaovyo ovyo ww kama huna lakucoment tulia
Wé Uko duniani ipi...mkulu,rc wote kutwa kukicha wako clouds....
Tbc kutwa kukicha ni ccm tu watu hawana mpango nayo...

Ova
 
ATCL ilikaa miaka mingapi bila kuwa na muelekeo na huku wafanyakazi wakilipwa?..Tusubiri labda huko mbeleni wataamua kuiendeleza, si unaona sasa hivi tunaletewa mpaka Dreamliner. Akiamua anaweza hata kurusha satelite kama 3 hivi za TBC pekee ili matangazo yapatikane duniani kote, lakini nitoe kana angalizo msije mkaanza kulalama pale mabilioni ya pesa yatakapoanza kutumika kulifufua shirika hilo:D
 
clouds au tbc ndyo ambao cyo wabunfu
Hivi wé NI mgeni jf ......ehh Kuna uzi nyibgi TU zilianzishwa za kuikosoa tbccm....
Clouds wao wanatumiwa kwa sababu ni vimbelembele na wanajua kuwapa watu misifa
Tu.....

Ova
 
Hivi wé NI mgeni jf ......ehh Kuna uzi nyibgi TU zilianzishwa za kuikosoa tbccm....
Clouds wao wanatumiwa kwa sababu ni vimbelembele na wanajua kuwapa watu misifa
Tu.....

Ova
huo nmtazamo wako ww cyo kilamtu haipend clouds mm nawaelewa sana ucfoc tufanane kjana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom