The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,001
- 2,351
Kwanini tusianzishe utamaduni kila anapofariki kiongozi mkubwa CCM weekend hiyo inakuwa spesho kwa ajili ya kusikitika kifo chake.
Bar zote na sehemu za Starehe wanakuwa na theme ya kusikitikia kifo hicho kwenye weekend hiyo?
Bar zote na sehemu za Starehe wanakuwa na theme ya kusikitikia kifo hicho kwenye weekend hiyo?