Ni wazo tu!✔

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,724
Siyo watu wote wanaokuuliza "watoto hawajambo", wanakuuliza kwa nia nzuri, wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo. Duh! Tutafika kweli?...
😵🙄😳😱😀😛😎😕😡🙁😉🙂
 
Siyo watu wote wanaokuuliza "watoto hawajambo", wanakuuliza kwa nia nzuri, wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo. Duh! Tutafika kweli?...
😵🙄😳😱😀😛😎😕😡🙁😉🙂
Noma
 
Unatia hasira unajua!!! Hili ni jukwaa la jokes na vichekesho, umepotea njia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…