Ni wazo tu ndugu zanguni msinitafune
Mara nyingi tunaambiwa uwezo wa kumdhibiti mwanamme uko mikononi mwa mwanamke mwenyewe kwa maana ya mahaba, vionjo na ubunifu wake hasa katika suala zima la malove dovey! Lakini pia ninaamini kuwa uwezo wa mwanamme kumdhibiti mwanamke wake uko mikonoi mwake yeye kwa maana ya mahaba na shughuli nzito ampayo mwandani wake!
Sasa inapofikia mwanamme kutoka nje ya mahusiano -kuwa na nyumba ndogo huwa tunaanza kunyooshewa vidole wanawake kuwa tumeshindwa kuwadhibiti either kwa kuwa hatuwapi mapenzi ya kutosha so mnakwenda nje kuyatafuta!
Swali je inapofikia mwanamke kutoka nje ya mahusiano/ kutokuwa na hamu na mwenzi wake/kuwa mchoyo wa penzi kwa maana ya kukutana kimwili na mwenzake e.t.c tuichukulie kuwa ni failure yenu kuturidhisha au? Maana si huwa mnasema mwanaume anao uwezo wa kukupa mambo kiasi kwamba wengine wote unawaona si mali kitu? au huwa ni majigambo tu?
HApo ndipo ninapopataka mimi. Haya mambo ya eti bwana fulani kaamua kuwa na nyumba ndogo kwa vile mkewe hamridhishi mie siyaelewi. Ndo mana nikauliza hivyo kwa sababu kwa hali ya kawaida kama mwanamke anafikishwa kunako kwa maana ya kuwa mziki wa mwenzake unamdatisha si ina maana hatakuwa anawatamani mwengine? kwa hivo akitoka nje ina maana mumewe/bf wake ameshindwa kumdatisha vilivyo au siyo?
MJ'1 nikirudi kwenye hoja yako, kuna wanawake kwa wanaume wengi tu ambao 'wapo fiti kwenye uwanja wa nyumbani na viwanja vya ugenini pia'...watu hao 'wakifumaniwa', husingizia eti hawatosheki nyumbani wakati kumbe ni ulafi wao tu!
Cudita aksante sasa kama huwa ni maamuzi why mwanaume akitoka nje watu wanamsema mwanamke wake kuwa ameshindwa kumdhibiti? Ila akitoka mwanamke anaambiwa malay.wengi wao wanafanya mambo kama hayo kwa tamaa za kimwili tu na si mapenzi au kuridhishana
just maamuzi tu
HApo ndipo ninapopataka mimi. Haya mambo ya eti bwana fulani kaamua kuwa na nyumba ndogo kwa vile mkewe hamridhishi mie siyaelewi. Ndo mana nikauliza hivyo kwa sababu kwa hali ya kawaida kama mwanamke anafikishwa kunako kwa maana ya kuwa mziki wa mwenzake unamdatisha si ina maana hatakuwa anawatamani mwengine? kwa hivo akitoka nje ina maana mumewe/bf wake ameshindwa kumdatisha vilivyo au siyo?
Thanks dear, nikweli tunachotaka ni tupewe haki yetu sio kuonewa tuu kila siku na kumbe mwenye shida ni yeye. Kha, wa baba amkeni, mmelala sana enzi hizi.Mpenzi ndio maana nikaweka na hiyo ya malavidavi mengine! Kitanda pekee hakitoshi kumtuliza njiwa tunduni mpenzi wangu! The bottom message ya hii thread ni kuwa wote wanawake kwa wanaume tunawajibishwa kuyalinda mahusiano yetu isichukuliwe kuwa mwanaume akitoka nje basi ni mwanamke anayelaumiwa kwa kutunza kumdhibiti na mwanamke akitoka ni malay au mwenye tamaa. Ewe baba ukisikia au kugundua mkeo amechepuka na kiserengeti au jibaba basi anza kwanza kujichungua wewe mwenyewe mapungufu yako kabla ya kukimbilia kumtwanga talaka na matusi juu!! Loh sihalalishi wanawake watoke nje