MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Na haya maamuzi yatakuwa yamechangiwa na nyie wote wawili,yani kwa makusudi mmeamua kuharibu mahusiano yenu.kutoka nje ni HULKA TU MTU!
kuridhishana ni state of oneself mind.i mean kila kitu kinaanzia kwenye brain.ukiamua kuridhika unaridhika tu.ukiamua kuto ridhika ni the same case!
kutoka nje ni HULKA TU MTU!
kuridhishana ni state of oneself mind.i mean kila kitu kinaanzia kwenye brain.ukiamua kuridhika unaridhika tu.ukiamua kuto ridhika ni the same case!
Na haya maamuzi yatakuwa yamechangiwa na nyie wote wawili,yani kwa makusudi mmeamua kuharibu mahusiano yenu.
MJ1 are you planning to cheat? Naona kama unaanza kutafuta kakisingizio flani if you understand what I mean.
Sijui kama hili lina ukwlei kiasi gani? .Ila ninachojua kama mwanaume ni masikini anaenda kwa masikini mwenzie na tajiri hivyohivyo,at the end of day wote wame-cheat.siku hizi watu wanafanya zinaa hata kwa 500/= au bure kabisaaa.Na wanawake wanajirahisi sana.Kuna dada mmoja aliwahi kuniambia kuwa mwanaume kutoka nje kunategemeana sana na pesa. Mwanaume mwenye pesa (relatively) is likely to cheat kuliko yule ambaye ni choka mbaya!! Hii ni kwa sababu ili utoke na binti wa nje unahitaji vijisenti kwa ajiri ya kinywaji, kuku wa kuchoma, air time kwenye simu yako ili uwasiliane na mtoto, hela ya hotel (chumba) na kisenti kidogo cha 'rushwa' kwa mabinti wapenda pesa.
And why would you say that?....... ni wazo tu
HApo ndipo ninapopataka mimi. Haya mambo ya eti bwana fulani kaamua kuwa na nyumba ndogo kwa vile mkewe hamridhishi mie siyaelewi. Ndo mana nikauliza hivyo kwa sababu kwa hali ya kawaida kama mwanamke anafikishwa kunako kwa maana ya kuwa mziki wa mwenzake unamdatisha si ina maana hatakuwa anawatamani mwengine? kwa hivo akitoka nje ina maana mumewe/bf wake ameshindwa kumdatisha vilivyo au siyo?
MJ1 ukweli ni kwamba case zote hazifanani,kuna makundi ya watu tofauti.
1.kuna watu wanatoka nje kwa sababu hawaridhishwi kwenye tendo
2.wengine waume zao wapo busy(ukiangalia tamthilia ya Desperate housewives kuna dada alijitafitia kiserengeti kwa vile mumewe alikuwa busy sana)
3.wengine wanalipiza kisasi kwa vile amemfumania mumewe
4.Wengine wameshawishiwa/wamdanganywa na marafiki
5.na wengine ni tamaa ya pesa
6.na wengine ni tabia zao mbaya tu(hulka)
Labda ifanyike research fulani kujua takwimu za hali hii ilikubaini matatizo ya kina mama kutoka nje ya ndoa.
6.na wengine ni tabia zao mbaya tu(hulka)
MJ1 are you planning to cheat? Naona kama unaanza kutafuta kakisingizio flani if you understand what I mean.
Kwa maana hiyo basi tuache hasa sie wanawake kuchukiana utakuta mtu kamchukua mume wa mwenzie anamponda mtaani kuwa yeye kashundwa kumenzi mie ndo nimemchukua kumbe inawezekana ni hulka yake tu.
Halafu na nyie kina baba mnaocheat muache tabia ya kuwasimulia vimada wenu mambo ya wake zenu utasikia mara oh hanitengei chakula mara oh ni mvivu hakizungushi kama wewe n.k matokeo yake yule hakawii kuyatumia maneno yako kama fimbo ya kumuattack mkeo!

naam,Lakini katika hayo yoote mwisho wake hakuna sababu inayohalalisha kutoka nje.Yote ni dhambi tu.Na kama Geoff alivosema ni maamuzi ya mtu mwenyewe,kwani kila jambo lina solution.Na hakuna cha kusema eti shetani alinidanganya.ni wewe mwenyewe umeamua kufanya dhambi.