Ngareroo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2019
- 2,164
- 2,610
- Thread starter
- #21
Noop,,kipindi nalala ile Saa6 usiku walikua bado wako On air na wakasema hadi kukuche,,Leo ile naamka mornie kweli walikua wanatangaza wao,ndo nkaungana nao hadi saa4 asubuhi.Kwamba tokea sa 12 hadi saa 12 ulikuwa unaskizaga tu redio