Ni waume/wanawake wangapi umewahi kutembea nao?

Serious relationships = 3
Part time r/ships = 16
Rebounces (mipira iliyokufa/isiyotegemewa) = 20+

NB. Nimeoa sasa na siongezi tena...

Usitukane mamba kabla hujavuka mto
 
109 tu ila nikipata wengine naongeza
 
Sijui ni wangapi maana wengine huwa nasahau kama nilishapita nao natongoza upya nakula mzigo
 
Nasubiri anko alete lile boeing 787 niwajaze afu niwahesabu.
 
Reactions: SDG
Jina lako lina sadifu uyasemayo
 
Mabeki Tatu saba
Wakusoma sekondari ishirini
Wake za watu wa tano
Staff wezangu sita
Hit and run thelathini
Uhusiano MAALUM watano
Niliokula Bila ya kupanga kumi. Hawa hawakua kwenye mpango.
Unijulishe utapata jibu
 
Kadri miaka inavyosonga ndo wanawake wazuri wanazidi kuongezeka halafu wabiiichiiiiii,sitegemei kutosheka na hawa viumbe nina udhaifu nao mnooo......
 

Idadi zikishatajwa... then what....!!!
 
Eh bhana hii ipo kisayansi kabisa, inaitwa "Lamarckism"
The Law of Use and Disuse — The parts of an organism's body that are used become more developed; parts that are not used become smaller and may disappear.
 
Haina namna nileteeni Scania 124, au tubehewa tuwili tu tunatosha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eh bhana hii ipo kisayansi kabisa, inaitwa "Lamarckism"
The Law of Use and Disuse — The parts of an organism's body that are used become more developed; parts that are not used become smaller and may disappear.
Haya wenye naniliu ndogo... Ongezeni migegedo
 
2017 Jana ucku nimepga wa 18 na leo anakuja mwingine so kwa mwaka Jana sikumbuki maana pesa ipo wanakuja wenyewe kazi yangu. Mimi ni kujiweka fiti kwa kusugua vizizi ,na katika records zangu Mara ya mwisho kutumia mpira ni 2008
Kweli wewe ni maharage kama unavyojiita
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…