Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

Atakae weza uliyo yasema ni mtu mmoja tu, mh.Shibuda.
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

Ikiwa ni ndani ya CCM yeyote anaweza kuwa rais kwa vile hakuna mabadiliko yoyote yatatokea kiutawala endapo ni CCM itaendelea kutoa marais. Hata ungemleta Obama akawa mgombea wa CCM angekula na serikali ya wala rushwa tu!

Nasubiri mjadala wa nani anafaa kuwa rais baada ya kujibiwa ni chama gani anawakilisah!

 

chuki binafsi, ukitaja visasi, kweli utamwacha SLAA.
 
Wanaofaa hawajulikani.
Wanaojulikana hawafai.
Nimeipenda hii, tusubiri 2015, tutajipatia rais wa ukweli, Tunao akina SALIMU, MWAKYEMBE, ZITTO na wengine lakni siyo SLAA na LOWASA. kati hao wawili akija mmoja wapo sipigi kura.
 

Siku zote kwangu namba witiri ni feki. so Magufuli, MWAKYEMBE, ZITTO, SALIMU AHAMED SALIMU sawa.
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

hawa ni wa JAMII FORUM
 
1. Wote hawa ni wachapa kazi
2. Wote hawa wanamsimamo.
3. Wote hawa wana vision na nchi
4. Wote hawa wanamaamuzi magumu kwa maendeleo ya nchi.
5. Wote hawa wakotayari kusimamia sheria kwa watendaji

na vigezo vingine vingi tu.
ila iyo no.3 ndo inayofanya nikuone muongo ninapoona kuna jina la bwana ngoyai ?
 
Bila kujitambua katu hatutoweza kutoka kwenye umaskini? Just imagine watu wamelitengeneza giza na kuingia mikataba ya hajabu leo hii tunasema wanafaa kuwa viongozi. Mtu aliye na uchu wa madaraka kupindukia anayelalamikiwa na chama chake bado anatajwa kuwa kiongozi wa nchi. Mtu ambaye amekuwa akitoa maneno ya kuidhoofisha serikali yake kwa ajili ya kupata ushawishi leo tunamtaka hawe Rais. Kwa mazingira ambayo tayari watu wamekula zao kwenye gas na mafuta, je hunawezaje kumweka mtu aliyehukumiwa na jamii kuwa ni fisadi? Tazama midomo yake anapokuwa kwenye harambee kila kona makanisani ni dhairi anatokwa udenda wa madaraka. Matajiri wako nyuma yake na wanamsaidia kupiga hatua huyo kweli awe Rais wataifa linalotarajia gas na mafuta kuwa mkombozi? Shule na UDOM ndizo sifa? Fedha ZILIZOTUMIKA si za kodi tumekamuliwa huku kodi ikipita njia hisiyo sahihi, huyu awe Rais? I WILL GO BEYOND THAT. I WILL GO TO THE VISIONARY LEADER, I WILL GO FOR TRUE LEADER, I WILL GO FOR A REFORMER AND HONEST LEADER FOR THIS NATION.
 
Esther Wasira who was one of the main speakers said fear among youths who comprise 60 percent of the total population has provided loopholes for the few dishonest leaders to sign bogus contracts. This is typical EL Richmond scam.
 
1.John Magufuri - hafai ni msanii zaidi ya mkweli,ana visasi,Ni mbinafsi.
2.Edward Lowasa - Ni kiongozi mzuri mwenye maamuzi,ila alishindwa kuhimili
na kusimamia maamuzi yake mbele ya JK na akaingia kwenye ufisadi ambao hasafishiki
hata angesafishwa na maji ya mito,mabwawa na bahari zote na sabuni za viwanda vyote
hawezi takata".
3.Dr. Wilbroad Slaa - Peke yake ndiye amebaki tumaini la watanzania ni mzalendo wa kweli,
ana maamuzi ni jasiri asiyeogopa mtu.Kwa Tanzania ilipofikia inahitaji mtu wa aina hii.
 
mie naona wote wanafaa isipokua nchi hii inahitaji mageuzi ya lazima pia nataka niweke wazi tu kwamba lowasa alijisafisha pale dom alipotamka waziwazi kwamba richmond muhusika mkuu ni kikwete yeye alijiuzulu kukinusuru ccm.pia lowasa amezaliwa kwenye familia ya kitajiri na ndio waliomlea kikwete wkt yuko jeshini monduli na nyerere alimwogopa lowasa kwasababu ya utajiri wake kwani wkt nyerere anapanda basi dar kuelekea dom el alipanda ndege.
 
Wengine ni Dr. Abdalah Kigoda, Hamisi Kagesheki na Hawa Ghasia

mmenifuraisha sana wana ccm mmemkataa slaa, mmetumia kila njia kumchafua mwisho wa siku mmeona huwezi zuia mafuriko kwa mikono,. Mmemkubali dk wa ukweli nimependa sana ukomavu wenu wa siasa annael na mafilili. Twendelee hivo tujenge nchi
 
Annael hayo ni mawazo yako ingawa kuingiza jina la fisadi Lowassa umeniharibia siku yangu. Lowassa is a kicking ass. Kama hatutashindwa kumzuia basi Mwenyezi Mungu atafanya hivyo. Tuombe Mungu ugogoro wa afya yake uendelee ili nchi yetu isijetawaliwa na fisadi mwingine wa kunuka. Hata hivyo, kama CCM watamsimamisha Lowassa ni jambo jema kwa vile upinzani utachukua dola kirahisi maana anabomoleka kutokana na rekodi yake chafu.
 
Ukifuata hotuba za NYERERE , SLAA hafai kabisa, ukija na dhambi ya ubaguzi, dhambi hiyo haitakuacha, Rais anayepata ushauri kwa mke wake hatufai kabisa.

wana ccm wenzako wameshamkubali hdi wameleta post khs dk, baki peke ako otoe povu na maneno yako ya mwanamke wa vilabu vya komoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…