Watu walitabiri
Hapo kwenye red huyu mtu ni hatari kwa visasi hafai kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya mustakabali wa nchi kwa kuwa atakayetofautiana naye kwa mtizamao anaweza kuishia jela kama Dk Slaa hatakuwepo ni bora hata ya Lowasa na ufisadi wake kuliko Magufuli
JF kulikuwa kuna vichwa aiseeh. Nikiangalia sukari na hizi kauli zake za karibuni dah uliona mbali.Sidhani kama anaogopwa, lakini ninadhani kwamba hana simile. Anapaswa kuwa mtendaji, kwa maana ya kwamba akitoa kauli kwa kukurupuka, basi Rais awepo kwa ajili ya kuirekebisha. Ni mfuatiliaji sana na anataka mabadiliko ya haraka kwa kila jambo. Hana simile, sasa mambo mengine hayawezekani kwenda hivyo.
Ni dhahiri Magufuli angekuwa Rais angeshaagiza jengo la TANESCO livunjwe, sasa maamuzi ya level ya urais hayawezi kuwa yanafanywa kirahisi namna hiyo. Anatakiwa tu awe ni mtendaji, tukimpa kazi ya kufuatilia utekelezaji wa ilani, hatapindisha. Na ikitokea akapindisha, Rais atarekebisha. Sasa niambie yeye ndo Rais halafu amewaambia watu wapige mbizi kama hawawezi kulipa nauli. Tell me wananchi wamemjia juu what will happen?
Labda mtu ambaye ningesema ana staha nzuri na umakini mkubwa naweza kusema Mwakyembe. Lakini Magufuli, hapana. Yeye afanye kazi katika level ya mtendaji mkuu (PM).
Mkuu yameshatimiaHapo kwenye red huyu mtu ni hatari kwa visasi hafai kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya mustakabali wa nchi kwa kuwa atakayetofautiana naye kwa mtizamao anaweza kuishia jela kama Dk Slaa hatakuwepo ni bora hata ya Lowasa na ufisadi wake kuliko Magufuli
Uliona mbali sana,kwa maono yako pia una nafasi ya kutuambia huyu tuliyenaye kwa mwendo huu ile kiu tuliyokuwanayo ya mabadiliko na maendeleo kiuchumi na kisiasa tutayapata?Kati ya hao wawili wameingia kwenye ushindani mkali.
Upo ndugu, ulikuwa Na hasira Sana, basi kakosa urais Babawe ni umbwa¬ mwizi huyo namba moja wa nini?umetumwa!hivi kwanini hatujifunzi pamoja na kuwa mjini ambapo info zipo za kutosha>?hivi hii nchi ilipofika tuna sababu ya kuwaa kumpa nchi mwizi??anayetaka urais kwa gharama yoyote ile? ma-chiziiiiiiiiiiiiiiiii wakubwa nyie!
kumbeKatika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:
1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.
Wengine ni porojo tu.
Ukisoma thread yangu nilieleza kila kitu. Sitaki nirudie. Hapa tutaanza kuongea bra bra ambazo huwa sizitaki.Uliona mbali sana,kwa maono yako pia una nafasi ya kutuambia huyu tuliyenaye kwa mwendo huu ile kiu tuliyokuwanayo ya mabadiliko na maendeleo kiuchumi na kisiasa tutayapata?
Ningekujua mzee ningekukunulia hata soda baridi. Uliona mbali sana miaka 4 iliyopita.Hapo kwenye red huyu mtu ni hatari kwa visasi hafai kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya mustakabali wa nchi kwa kuwa atakayetofautiana naye kwa mtizamao anaweza kuishia jela kama Dk Slaa hatakuwepo ni bora hata ya Lowasa na ufisadi wake kuliko Magufuli
Hapa ndugu imepita huu ni mrejesho tu. Tusubiri miaka 7 tutawaletea utabiri mwingine.Wa kwanza anaueezo sawa ila asingeweza kutumbua majipu na kukomesha lushwa pia tungebaki tunadhalauliana tu si kama saiv watu tunaheshimiana maoffsin
Wa pili:anauwezo sana isipokuwa inatakiwa akubali kukosolewa pale anapofanya kinyume pia asiwe na maamiz bila kuyapima kama yanaweza kuwa na madhara kwa baadae,yuko vizur sana ila afate katiba tu mambo yataenda sawa na asikilize ushauli pande zote sio kiidikadi
Wa tatu;hafai kabisa hata kidogo sasa huyo tungeuzwa hata ss,tungejuta kabisa hana maamuz magum,pia msaliti mtu wa kweli na fighter waga sio kigeugeu alionyesha uzaifu kama manakumbuka hivyo hafai kwa mawazo yang lakin.
Upo ndugu, ulikuwa Na hasira Sana, basi kakosa urais Baba
nime like!Huwa namwona Magufuli anaweza nyoosha nchi, kama Kagame alivyoweza ibadilisha Rwanda. Huyu anathubutu na yupo Kwa ajili ya watu Si mbinafsi!