Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

Ni wapi nyanya zinapatikana kwa wingi?

MMMMM

Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
39
Reaction score
3
Habari wakuu jamani naomba msaada kwa anejua vizuri soko la nyanya zinapatikana wapi kwa wingi tafadhari msaada tutani
 
habari wakuu, jamani anaejua vizuri soko la nyanya humu na zinapatikana wapi kwa wingi plizz msaada tutani
 
Mkuu heading yako na ulichokielezea kama haviendani vile ,pia maelezo yako hayajitoshelezi ,unahitaji soko la nyanya uzinunue ama ndyo unataka uombe kazi huko?, pia ni mkoa gani sehemu gani unahitaji au ni sehemu yoyote hata kama yanapatikana nje ya nchi ?. Elezea vzr ili usaidiwe mkuu
 
unauza ama unanunua upo wapi? ukiwa upo serious na kazi yako inafaa uandike kama mtu mwenye akili au upo kwenye bodaboda hujaeleweka aisee
 
unauza ama unanunua upo wapi? ukiwa upo serious na kazi yako inafaa uandike kama mtu mwenye akili au upo kwenye bodaboda hujaeleweka aisee
km ingekuwa mtu hana akili asingeuliza swali labda wewe ndo huna km mwalimu kafundisha hajaeleweka wanafunzi wanauliza swali na sio kusema ticha hana akili, jitambue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom