catton moja ina outer au wanaziita Bomba 100. hiyo unayosema ina paketi kumi ni Bomba sio caton. Carton ni box yenye hizo bomba za pakiti kumi kumi mia Moja. Hiyo biashara nimefanya sana mkuu miaka fulani hivi ila naambiwa sasa hivi imepanda inafika kwenye 40M Kwa carton