Rahma Nyusi
Member
- Jun 3, 2015
- 73
- 9
Kwa basi Nbs unaondoka dsm 12 asbh unafika tabora saa 3 usiku
kuna chuo cha uhadhiri pale... usiache kwenda ukifika!!!
Mhhhhhhhhh!!!mbaliiii.una pumzka njiani mara ngapi?
refreshments...Ndio kuna nini hapo chuoni?
Mhhhhhhhhh!!!mbaliiii.una pumzka njiani mara ngapi?
Ni UHAZILI si UHADHIRI.kuna chuo cha uhadhiri pale... usiache kwenda ukifika!!!