Ni wapi Dar naweza pata huduma ya massage nzuri?

Sorry wakuu, kama kuna memba anajua wapi naweza pata hii huduma mwanza anijuze
Nenda Tilapia. Au ukipita Rock beach mbele kidogo utaona sign unafuata barabara inayoenda kulia, sijui kama bado wapo. Na kwa huduma ya Sauna tu nenda nyakato kando ya Home Craft Centre.NB: Mara ya mwisho kuwa Mza ilikuwa 2006. So sina habari na changes zozote kama zipo!
 
hv kweli sehemu gani nzuri ya kupata massage kwa hapa dar es saslaam
 
Wakuu JF,

naomba kujuzwa sehemu ninayoweza kupata huduma ya massage nikiwa Dar. Naomba iwe ni sehemu safi yenye hadhi, siyo uchochoroni.

Nenda Tranquil Massage Spa, iko Kinondoni. Inatazamana na Kinondoni Muslim, pametulia sana, pana usiri na parking za ndani ya uzio. Waheshimiwa huwa tunahudumiwa hapo. Waweza wacheck kwa +255 786 952 020
 
duh itabidi niende
 
Pasco wikiendi hii nimeenda hapo naona wamepandisha bei imekua 25,000/=ila sio pabaya.Asante kwa taarifa.
Andrew Kellei Mbezi beach kubwa, ni eneo lipi exactly? Specific location please, mi nakaa karibu na Rainbow.
 
Andrew Kellei Mbezi beach kubwa, ni eneo lipi exactly? Specific location please, mi nakaa karibu na Rainbow.
Mkuu hiyo ilikua ni 2011 na nilikua nimefuata maelekezo ya Pasco.Mimi nilienda moja ipo karibu na daraja la jeshi kama unaenda kawe ukitokea Mikocheni.Ni kabla ya daraja upande wa kulia kama unaelekea kawe.
Maelekezo yenyewe ni haya hapa chini
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…