Ni wapi alipo Gwajima?

NicholausII

Member
Jun 13, 2016
7
1
Tangu kusikika kwa ujumbe wa Sauti unaodhaniwa kuwa ni sauti ya kiongozi Wa kanisa la ufufuo na uzima askofu Gwajima kuna sintofahamu imetanda.

Polisi wanamsaka askofu Huyo atoe Maelezo kuhusu sauti hiyo inayodaiwa kuwa ya uchochezi bila mafanikio!

Kanisani kwake hayupo na nyumbani kwake hayupo!
Je ni wapo alipo askofu Gwajima?
Na kwa nn asijitokeze adharani kujibu mashitaka yanayomkabili?
 
Amepazwa kama alivyopazwa Eliya na Yesu wa Nazareti jina la Bwana lihimidiwe usicheze na damu ya Yesu.
 
Labda ndo kwanza anashika smartphone na huko nyuma alikuwa akiadithiwa kuwa kwenye smartphone kila kitu nipicha
Kazoea huyu mjinga! kila thread ukienda utasikia picha sasa picha ya nini hata kama tukio halihusiani na picha
 
Tangu kusikika kwa ujumbe wa Sauti unaodhaniwa kuwa ni sauti ya kiongozi Wa kanisa la ufufuo na uzima askofu Gwajima kuna sintofahamu imetanda.

Polisi wanamsaka askofu Huyo atoe Maelezo kuhusu sauti hiyo inayodaiwa kuwa ya uchochezi bila mafanikio!

nimeipenda hiyo,,,eti SAUTI ILIYODHANIWA
 
Asiwe anakaribia mbinguni tuu!! Maana hawa wachungaji wetu wa kizazi kipya hawaishi vimbwanga!!
 
itakuwa mchepuko kwa mkewe wewe..nakuona hakutulii kabisa!! unataka usikie kakamatwa sio?

BANGO
 
Back
Top Bottom