Ni wangapi kati ya wanawake wanaweza kumruhusu mumewe atembee nje ya ndoa?

Huyo mdada amejikatia tamaa. Ni ngumu kutoa go ahead mwanaume wako acheat.
Maradhi je? Akiyapata atabaki nayo mwenyewe?
Hell Nah, siwezi kukubaliana na anachosema.
Maisha ni majukumu sio starehe, ila kama makosa yakitokea kusameheana pia ni sehem ya majukum chamsingi kila mtu afanye majukumu yake.
 
Cheat tu! Maisha yenyewe haya hayaeleweki. Wala sikubani we fanya yako tu..ukichoka utanikuta.

Wengine oooh maradhi! Nani alisema utaishi milele?

Tuache kuwabania waume zetu, akili kumkichwa maamuzi mikononi mwake.
 
Acheat kimya kimya.

Nikihisi anacheat naenda mnunulia mipira ya kutosha.

Kila akitoka namwekea mifukoni mwake na kumwambia usisahau kuitumia
 
huyo dada anaijua saikolojia vizuri!!hata mwizi wa ndani ukimkabidhi kitu haibi,kifiche au mnyime sasa
tena wakati unakaribia kupiga nje, akili itawaza mke wangu ameniruhusu na anajua nachofanya ila ameamua kuvumilia na kukubali kwakuwa hataki kunipoteza, aisee ngoma itagoma kusimama na utaondoka.
 
Anamruhusu mwanaume wake acheat kwakua hawezi kuridhika na yeye pekeake kwahyo awe tu na wanawake wengine akirudi om mapenzi yao yanaendelea
Huyo Dada, anatakiwa akamuone Dr wa magonjwa ya akili aiseeee
 
Akinicheat nikigundua tunaachana.
Nina wivu sana Mimi.

Wanawake wengi wa humu jf mnajifanya nyie ni watakatifu sana kumbe Hamna lolote, ww tangu umeanza mahusiano hujawahi m-cheat boyfriend wako? Hata ukisema hujawahi ku-cheat, ukweli halisi unao ww moyoni mwako Paula Paul
 
Back
Top Bottom