Ni wangapi humu tunapata tabu kuvaa condom!

Kwa kweli hata mimi kutumia Condom huwa ni changamoto sana.

Huwaga naunganisha goli la kwanza na goli la pili
 
Kwa kweli hata mimi kutumia Condom huwa ni changamoto sana.
Huwaga naunganisha goli la kwanza na goli la pili
hahah sasa si unakiuka masharti mkuu ebu kuwa na huruma basi😃
Ujue wameweka masharti kuwa kila goli ubadilishe mfuko. Sasa ukiunganisha manake hapo utakuwa unawabaka wanao wale wa goli la kwanza 😁
Jitahidi mkuu uwe unabadilisha huo ubakaji wa vitoto sasa.
 
Hahaha!!

Mkuu kissange ujue usumbufu unakujaga pale ninaposhusha makinikia na ndom inajaa

Sasa ile kutaka niunganishe ndomu inakuwa inateleza kwa kuzidiwa makinikia.

Ile kuanza kubadurisha tena ndomu inakuwa kero.

Naitoa nakuunga tu.......
 
[emoji23][emoji23][emoji23] haki nimecheka
 
Siku hizi nimeamua kuwa mwaminifu, nimtakaye lazima tupime ndipo tupeane ndomu inapoteza ladha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…