Ni wanaume wangapi wanayaweza haya?

Sky, ndiyo wewe nini ?! Wanaolewaga hao, au niseme wanaume wanaoa tu, na hasa kwa vile yule partner wa kwanza amerudisha number [emoji120][emoji120].
 
Si bora abaki kimya...siku inayofuata anipe tunda week inayofauta ananiambia....babe najiskia vibaya labda nina mimba.


BTW, she is honesty. I like her.
Mmh mkienda kwenye scan mnaambiwa mtoto ni wa 12 weeks wakati wewe unajua ni 4weeks
 
Kaburi la Huyo jamaa lipo wapi.. Nikaombe kibali mahakamani tupime na DNA .. Wanawake mna Mioyo ya Vichaka Sana. Nikishakuoa Unashangaa Mzazi mwenza Anapatikana
 
Kwaio Aziza ana shahada ya Uzamili lakini anakaa nyumba ambayo inabidi akachote maji kisimani tena kwa jirani?
 
Kwaio Aziza ana shahada ya Uzamili lakini anakaa nyumba ambayo inabidi akachote maji kisimani tena kwa jirani?
Maji ya bomba huko Papai si ya kuaminika sana.
 
sasa kama mwanaume wake alishakufwa huko,nani wa kunizuia tena?? unachukua jumla jumla na mimba yake . wengine tunakasumba ya kuvaa za mitumba,mpya ni za kichina maji mara moja zimefubaa
 
Kwa situation hiyo ya Aziza bila shaka wanaume wengi wako tayari kutoa sapot bila hiyana
 
Ilimradi awe na mapenzi ya kweli tu, kila kitu maelewano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo siyo mimba mama
tatizo anaweza sema kapata ajari kumbe yupo ila wamegombana tu
sasa wewe toa posa afu wapatane oooh

Voxser empire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…