Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,793
- 5,382
Kama unamiliki suruali zaidi ya kumi na tano na una boksa mbili tu wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya viatu wewe ni mchafu,mwanaume viatu
Kama unapiga mswaki Mara moja tu kwa siku wewe ni mwanaume mchafu!
Kama huwezi hata kuwa na perfume zaidi ya tatu ghetto wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya shuka na hata taulo huna wewe ni mchafu!
Kama unatumia mikono kufuta kamasi wewe ni mchafu!
Kama nywele zako huwezi kugharamia hata tsh 30000 kwa mwezi wewe ni mchafu!
Team wachafu njoeni mtoe mapovu[emoji23]
Kama tayar nmeshaoa natafuta kumvutia nan tena!!
Dah! Wanaume wa Dar bwana! Yaani huo umama ndo unahimiza wanaume wote tuwe nao?? So sadKama unamiliki suruali zaidi ya kumi na tano na una boksa mbili tu wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya viatu wewe ni mchafu,mwanaume viatu
Kama unapiga mswaki Mara moja tu kwa siku wewe ni mwanaume mchafu!
Kama huwezi hata kuwa na perfume zaidi ya tatu ghetto wewe ni mchafu!
Kama una pea moja tu ya shuka na hata taulo huna wewe ni mchafu!
Kama unatumia mikono kufuta kamasi wewe ni mchafu!
Kama nywele zako huwezi kugharamia hata tsh 30000 kwa mwezi wewe ni mchafu!
Team wachafu njoeni mtoe mapovu[emoji23]
Hizo zinapatikana nyegezi[emoji23]Vipi na boxer used unauza?
Ha ha ha ha wakikusikia wenyeweKama kalunguyeye vile..
Naomba ninunulie japo ka body sprayNakazia
Wewe mchafu
Tatizo pesa si kwamba hatutaki hayo makorokoro unayoyasemaAisee nilikuwaga na x mmoja hivi, kwa Usafi nampa shikamoo. Anatumia sabuni clasic, zile body wash/ liquid soap, kichwani shampoo nzuri zinanukia [emoji16] sio haya ma sabuni ya vipande
Kurudia ni jadi bwana hatuvuji maji sisiMi binafsi naona mwanaume ni bora awe na boxer nyingi,soksi nyingi na vest nyingi plus viatuka sivyo majangaaaa coz wanaume ni wachafu saana kwenye nguo za ndani 80% wanarudiaga nguo za ndani so its better awe na nguo za ndani nyingi
Hii kali aisee!!!Kama huwezi hata kuwa na perfume zaidi ya tatu ghetto wewe ni mchafu!
ππππππHa ha ha ha wakikusikia wenyewe