AjabuHivi walisema wanashindana?
Hivi inawezekana watu wote tukapenda muziki wa mtu mmoja!?acheni ujinga!...hiyo haipo dunia nzima toka zamani wanamuziki walikuwa wanagawana mashabiki!Mie sio mtu wa burudani ila naungana na wewe mkuu. Kiba afanye mziki kama burudani lakini sio kushindana na Diamond.
Hivi inawezekana watu wote tukapenda muziki wa mtu mmoja!?acheni ujinga!...hiyo haipo dunia nzima toka zamani wanamuziki walikuwa wanagawana mashabiki!
Mbona wamlisha maneno Kiba mkuu ""? kwani alipokwenda kuzindua ile nyimbo alisem kuwa anashindana na diamond...hivi inaingia akilini " kweli mtu aache kufnya project zake "" kisa tu ataonekana anashindana na mtu ""wabongo tunauwezo finyu sana wakuchakata mambo " kwakutumia akili Yetu ""Mie sio mtu wa burudani ila naungana na wewe mkuu. Kiba afanye mziki kama burudani lakini sio kushindana na Diamond.
Hakuna aliyekatazwa kupenda muziki wa msanii mwingine but hapa tunaongele competition iliyopandikizwa tangu mudaHivi inawezekana watu wote tukapenda muziki wa mtu mmoja!?acheni ujinga!...hiyo haipo dunia nzima toka zamani wanamuziki walikuwa wanagawana mashabiki!
Hivi kwanini Diamond akienda mara kwa mara clouds hamsemi anabebwa ila wakienda wengine nongwa?
Wengi mnaona tu ile alikiba kushinda clouds Siku nzima ni kubebwa ila hamuoni Fursa ambayo clouds wamepata ya kubeba matangazo ya MoFaya!
Clouds wanajua sana kucheza na akili za Wabongo Na wanafanikiwa.....
Mbona wamlisha maneno Kiba mkuu ""? kwani alipokwenda kuzindua ile nyimbo alisem kuwa anashindana na diamond...hivi inaingia akilini " kweli mtu aache kufnya project zake "" kisa tu ataonekana anashindana na mtu ""wabongo tunauwezo finyu sana wakuchakata mambo " kwakutumia akili Yetu ""
aaagh tuachane na hao "" average "IQ ..discus peoples"""......Ahsante mkubwa, mie akili yangu finyu kuchakata mambo. Lakini inaweza kuwa sahihi.
Mwenyewe kasema yeye ndio kiki.ALIKIBA NA DIAMOND KWANI WANASHINDANA?? MBONA ALIKIBA SIO MPENDA KIKI SANA?
OOOOH KUMBEMwenyewe kasema yeye ndio kiki.