meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
Kushika majiji yote ilikuwa ni "pi" kwa kuwa kazi kubwa sana ilifanywa na Slaa na wanachadema asilia.2015 ilikuwa ni zaidi ya majiji kama ushauri wa Slaa ungefuatwa.Chama kimeshika majiji yote chini ya mbowe kwako ww mafanikio ni nini?mtu yeyote anaye kubali kununuliwa hulaaniwa fuatilia historia ya yuda escaliuti
Ukisema utaitwa mwanaCCM...HATUWEZI KUWA NA TANZANIA MPYA CHINI YA MAKAPI YA ZAMANI KUTOKA CCM NDANI YA CHADEMAWengine tukisema tunaonekana ni wasariti,,huwa tulilaani na tunalaaani sana ishu za kuchukua watu kutoka ccm na kuwapa heshima ndani ya chama
Wito huu kwa Mbowe ni wa siku nyingi...namfananisha na Mugabe.tulionya tangu mapema kwamba ujio wa Lowasa na wenzake kutomka ccm tena walitoka baada ya kukatwa ccm, lilikuwa ni kaburi la chadema. ukweli na uongo huwa havikai pamoja. Mbowe huu ni muda muafaka wa kujiuzuru uenyekiti na kumuomba radhi dk Slaa.
Eti kimeshika majiji, majiji?Chama kimeshika majiji yote chini ya mbowe kwako ww mafanikio ni nini?mtu yeyote anaye kubali kununuliwa hulaaniwa fuatilia historia ya yuda escaliuti
Nyie ndio wale mlioingia Chadema na gari la mabadiliko?Maccm achaneni na mambo ya Chadema, tunajua Dr. Slaa yuko kwenye payroll yenu kama Chadema inaharibikiwa si ndiyo furaha kwenu? Wacheni umbwiga, pambaneni na ya kwenu.
tatizo ndio liko hapo mnapojidanganya..so utanaka Mbowe ajiuzulu..Tukupe wewe uenyekiti?Nyie ndio wale mlioingia Chadema na gari la mabadiliko?
Failure ndio zinazomtaka aondoke kwenye kiti...sio mwanaccmhahhahahah...kwamba wewe CCM ndio Mbowe anakuuma sana kiasi cha kutaka ajiuzulu...hahahaha
kweli eeeh...Tunaoevaluate failure zake ni sisi wanachadema sio nyie ccmFailure ndio zinazomtaka aondoke kwenye kiti...sio mwanaccm