C CalvinPower JF-Expert Member Nov 25, 2008 1,572 883 Feb 16, 2019 #21 Papushikashi said: Hii ndio ccm ya awamu hiiView attachment 1024191 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio ccm wote wapo hivyo?
Papushikashi said: Hii ndio ccm ya awamu hiiView attachment 1024191 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio ccm wote wapo hivyo?
MAGO JF-Expert Member Mar 8, 2011 2,256 2,975 Feb 16, 2019 #22 britanicca said: Kwani ni lazima kumjibu Lissu? Kwanini haikuwa lazima kwao kupigia kelele suala la ulinzi wake waje kumjibu? Pili kama Taifa mna mengi ya kufanya si lazima kujibizana mtandaoni Click to expand... kama yapi tofauti na hali tete ya ukiukwaji wa haki za binadamu uliopindukia... Sent using Jamii Forums mobile app
britanicca said: Kwani ni lazima kumjibu Lissu? Kwanini haikuwa lazima kwao kupigia kelele suala la ulinzi wake waje kumjibu? Pili kama Taifa mna mengi ya kufanya si lazima kujibizana mtandaoni Click to expand... kama yapi tofauti na hali tete ya ukiukwaji wa haki za binadamu uliopindukia... Sent using Jamii Forums mobile app