Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,581
- 2,937
Ndugu zanguni,
Kama mjuavyo wananchi sasa wameanza kujitambua na wamewashtukia matapeli wa kisiasa chadema, na hayo yamejionyesha kwenye matokeo ya chaguzi zilizoffanyika jana.
ILi kurudisha heshima ya upinzani nchini, inabidi chama kilichotulia na chenye muelekeo positive cha NCCR mageuzi kusimama na kujijenga katika ngazi zote.
Sote tunajua kuwa wananchi wanahitaji kuwa na chama imara cha upinzani ambacho siku moja wanaweza kukiamini kiongoze nchi, lakini sio hawa makanjanja Chadema wanaoongozwa na ukoo wa Mtei.
NCCR ni chama ambacho tayari kiliishajijenga tokea enzi za Mrema kwa hiyo haitakuwa kazi ngumu kufufua matawi yaliyofungwa na kuelimisha jamii.
Nawashukuru sana wapiga kura kjwa kukataa kushangaa chopa na kuwadharau hawa wanaojikamatisha polisi kila kukicha ili wapate umaarufu na huruma.
Tanzania kuna chama kimoja tu cha upinzani kinachoongozwa kisomi, nancho ni NCCR Mageuzi
JITAMBUE!