Mwanaharakati huru.Jee yeye ni nani? Au yeye anatumwa na nani?
Nakumbuka Siku za nyuma vikao vya ccm vilikuwa vinaweza kumhoji yeyote mwenye kadi ya chama. Nasema YEYOTE yule kama alikuwa anakwenda kinyume na Sera na desturi za chama hicho.Mkuu mbona anajulikana, hata wewe unamjua sema unaogopa kumtaja, ni kokoto
Nakumbuka Siku za nyuma vikao vya ccm vilikuwa vinaweza kumhoji yeyote mwenye kadi ya chama. Nasema YEYOTE yule kama alikuwa anakwenda kinyume na Sera na desturi za chama hicho.
Jee jeuri hiyo imepotelea wapi?
Mwakaharakati huru.
Maandiko matakataifu.....ALLAH YUKO NA WENYE KUSUBIRI.

Mkuu mbona anajulikana, hata wewe unamjua sema unaogopa kumtaja, ni kokoto
Taharuki katika jamii ni jambo lenye kuchukuliwa kwa hadhari kubwa sana.
Tumeona zipo habari za taharuki ambazo huwa zinaweza kuleta hata mtikisiko wa kiuchumi, mfano kushuka ghafla au kupanda kwa masoko ya hisa au wawekezaji kukimbia au kukimbiza mitaji..
Tumeshuhudia huyu mtu (ambaye ukimuangalia kwa umakini ana tatizo kisaikolojia) akija na tuhuma kedekede kwa watu mbalimbali na ambao wanaheshimika katika jamii, lakini la kusikitisha ni kuwa hachukuliwi hatua yeyote hata ya kuonywa tuu. Jee yeye ni nani? Au yeye anatumwa na nani?
Jana magazeti yake yametoa taarifa kuwa kuna watu wanataka kumuua, Polisi wakasoma magazeti hao mbio kuwahoji waliotajwa kama vile hizo tuhuma zimekuwa FILED kwao. Nani tumepata kuona anapewa huduma hii first class na jeshi letu la polisi? Lazima kuna mtu mzito ambaye yeye ndiye "Musiba" na huyu mropokaji ni photocopy tuu, jee ni nani huyo anayeogopwa na wahusika wa tasnia hizo za habari na wa usalama?
Maana sio Dr Abass au Mwakyembe anaye furukuta, na wala sio Kamanda Sirro au Kangi mwenye kuweza kukohoa kwa Musiba.
Tuwe sasa wakweli, ni nani huyo ndio mwamvuli wa Musiba? Ndiye backup yake kiasi cha kujiaibisha kwa kuonyesha kazi hawawezi?
Ukiona polisi wanamuita Max ahojiwe kwa tuhuma nzito kama hizo kisha wanamuachia bila masharti ujue tuhuma hizo ni baseless na zimedharaulika lakini wao wametaka kumuonyesha huyo wamuogopaye kuwa wamechukua hatua.
NI NANI HUYO TUMFICHUE?
Home. Boy wakeTaharuki katika jamii ni jambo lenye kuchukuliwa kwa hadhari kubwa sana.
Tumeona zipo habari za taharuki ambazo huwa zinaweza kuleta hata mtikisiko wa kiuchumi, mfano kushuka ghafla au kupanda kwa masoko ya hisa au wawekezaji kukimbia au kukimbiza mitaji..
Tumeshuhudia huyu mtu (ambaye ukimuangalia kwa umakini ana tatizo kisaikolojia) akija na tuhuma kedekede kwa watu mbalimbali na ambao wanaheshimika katika jamii, lakini la kusikitisha ni kuwa hachukuliwi hatua yeyote hata ya kuonywa tuu. Jee yeye ni nani? Au yeye anatumwa na nani?
Jana magazeti yake yametoa taarifa kuwa kuna watu wanataka kumuua, Polisi wakasoma magazeti hao mbio kuwahoji waliotajwa kama vile hizo tuhuma zimekuwa FILED kwao. Nani tumepata kuona anapewa huduma hii first class na jeshi letu la polisi? Lazima kuna mtu mzito ambaye yeye ndiye "Musiba" na huyu mropokaji ni photocopy tuu, jee ni nani huyo anayeogopwa na wahusika wa tasnia hizo za habari na wa usalama?
Maana sio Dr Abass au Mwakyembe anaye furukuta, na wala sio Kamanda Sirro au Kangi mwenye kuweza kukohoa kwa Musiba.
Tuwe sasa wakweli, ni nani huyo ndio mwamvuli wa Musiba? Ndiye backup yake kiasi cha kujiaibisha kwa kuonyesha kazi hawawezi?
Ukiona polisi wanamuita Max ahojiwe kwa tuhuma nzito kama hizo kisha wanamuachia bila masharti ujue tuhuma hizo ni baseless na zimedharaulika lakini wao wametaka kumuonyesha huyo wamuogopaye kuwa wamechukua hatua.
NI NANI HUYO TUMFICHUE?
Nakumbuka Siku za nyuma vikao vya ccm vilikuwa vinaweza kumhoji yeyote mwenye kadi ya chama. Nasema YEYOTE yule kama alikuwa anakwenda kinyume na Sera na desturi za chama hicho.
Jee jeuri hiyo imepotelea wapi?
Wako Watatu tu wa Kwanza yupo Jirani na Mahakama ya Samaki Jijini Dar es Salaam Kikazi na Kimakazi, wa Pili yupo Masaki anaishi karibu na Hotel ya Sea Cliff japo Kikazi hayuko mbali na Shule ya Ilala Boma na Soko la Ilala Karume na wa mwisho ( wa Tatu ) ana Kazi za aina mbili ya Kimedani na ya Kiuchungaji na muda wake mwingi wa Utumishi upo Oysterbay mkabala na Shule ya Chekechea ya Mtakatifu Peter. Nimeshangaa sana wanavyohangaika na Watu kama akina Maxence Melo ambao ukipima na Kuchunguza Kiumakini hawahusiki na hizo Tuhuma zao za Kiduduna ( Kipumbavu ) kabisa dhidi yao.
Hizi kokoto za ujenzi ninazozijua?