Wakuu, nikiwa kama Mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu huwa nasikitika sana jinsi akina Lissu, Mdee, Zitto, Kafulila nk jinsi wanavyodhihakiwa huku wakitetea maslahi ya Watanzania.
Binafsi sioni uwezekano vyama vyao kuja kuitoa madarakani hivyo naona njia bora ya kuisimamia serikali ni kuingia kwenye mfumo!
CCM haishauriki ukiwa mpinzani na hata utoe hoja gani utaonekana huitakii mema labda uwepo msuguano ndani yao km enzi za Sitta, Lowasa na Mwakyembe!
Enyi akina Zitto, Lissu ... chondechonde jiungeni CCM kuliokoa taifa! Ni imani yangu kuwa masuala kama Richmond, EPA, Tegeta Escrow na hata hili la ACACIA hayatajitokeza tena.