Kwa hali inavyoendelea sasa katika nchi yetu kuna ufa mkubwa umetokea na unazidi kukua siku hadi siku.Hotuba za mh.Raisi mara zote zinaonyesha kama bado yupo kwenye kampeni sijui kama ni iliyopita au 2020.Ni wakati murua sasa washauri wamwambie aongee kama kiongozi wa kitaifa siyo wa wanaCCM, peke yao.Kuna watu ambao hata wameshaamua mustakabali wao.Vijmbe vya kichama havina mashiko.Watanzania wanataka maji,Elimu bora,miundombinu mizuri ya kuwatoa shambani kuja mijini kwenye soko la bidhaa zao.CCM,wanabaki kuwa na mawazo ya vitu badala watu.Wapi Afya bora.