Ni wakati gani mwanaume anazeekai!?

Ni wakati gani mwanaume anazeekai!?

Mwanaume anazeeka anapojisikia, mwanamke anazeeka anavyoonekana.
 
Mwanaume anazeeka tena vibaya sana hata "viagra" inakuwa haisaidii.
Tena na haya magonjwa sugu (diabetes, Hypertension), unakuta mwanaume wa miaka 55 tu "jogoo haliwikii" au linawika kwa pinde.
Mwanamke bwana, akifika peri menopausal au menopausal ndio mchemko unazidi kuwa moto.
Sasa hapo nani hazeeki????


  1. mwanaume hazeeki
  2. ni 'kawaida' m/me kuwa binti mdogo anayeweza kuvumilia 'shughuli'
 
Back
Top Bottom