platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,539
Wewe bado sana, Mashallah upo kwenye mstari.
Akina Amu na Kongosho umewafundisha mambo mapya tu, hapo zamani walikuwa wanaweka madaso.
Kwao pedi yalikuwa mashikolo mageni, Yaani kwa kifupi umewaingiza mjini.
Halafu Blaine ameingiaje hapa?