Sasa Purple na huo msemo wa 'mwanamke yake staha, kupewa kitu mara ya kwanza kukataa' unafit wapi sasa?
Hahah mi kuna 1 alinisumbua sana kama miezi 6 hadi akawa ananiita chizi kisa sitaki kumuelewa yeye ataki mahusiano na mimi.man niliendelea kupush slowly at the end of the day alijisahau nikampa ofa ya dinner.ilikuwa ni eat and run .mkuu kuwa mpole dawa ya wanaojifanya wajanja we kuwa kama njiwa at the end utakula mema then unamtupa kule wasumbufu sana

Hapana yangu ya kwanza ni HAPANA. . .na nnachukia sana mtu anaeendelea kunifuata fuata akidhani ntabadili mawazo.
Kama ni zawadi, tumia carrier agent kama hataki atarudisha!
lla ili kumaliza hilo tatizo, kaa ongea naye; muweke mambo sawa ili aseme when anamaanisha ndio na when anamaanisha hapana. na muambie kabla kuwa hapana yake wewe unaichukulia kama hapana na ndio yake waichukulia hivyo hivyo.
Kama ni mtu wa maugomvi tu, then muignore! kwa upande wako it should also be the same, never make a promise just for the sake of it!
i think am a bit diferent from the rest..mimi hua niko straight ,nikisema hapana ni hapana haiwezi kubadilika badae labda kama ni nyakati za utani!
Kwenye serious issues ndiyo=ndiyo na hapana=hapana siwezi kusema hapana nikimaanisha ndiyo and viceversa!
Lizzy Kaunga na Purple-Hebu msinibanie maujuzi dada zangu...fungukeni...Mnajua unakuwa sehemu ambayo huko comfortable kivile, yani kwa mbali unaona kama aibu fulani kwenye hiyo context (labda kuna other people ambao hujawazoea) yani kuna sababu genuine kabisa za kimazingira ambazo zinaafect maamuzi yako kwa kiasi fulani, Je ni kiashiria gani unatumia kuonesha NO yako ni Yes?