Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,941
Wow hongera pia maana si kazi rahisi kupungua hivyo .Hongera Jitahdi mimi nilifanikiwa kupunguza Kilo 9 kutoka 75 mpaka 66 Just tu kwa kuacha kula nyama kabisa for Almost mwaka mzima,Jogging karibia kila siku km 2 au kuzunguka uwanja wa mpira zaidi ya mara tano..
Nilipunguza Intake of Wanga ila sikuacha,Chips niliacha kabisa kwa muda..
Matokeo yalivyokuwa mazuri sasa hvi nyama nakula kiasi na Wali ndio usiseme ila mwili ushagoma kunenepa tena..
Fanya kama nilivyofanya matokeo utayaona mana mie ni shahidi na wala sikuwahi kwenda gym...
Nipo hapa kukusapoti
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks kwa ushauri nitazingatia hilo