Ni vita ndani ya CCM

Royal Tour

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
250
452
Anaandika Kada Mtiifu Thadei Ole Mushi.

NI VITA KATI YA WANACCM ASILIA NA WAHAMIAJI?

Na Thadei Ole Mushi.

Wakati Mwita Waitara ailipohamia CCM na Kuukwaa uwaziri akiwaacha vijana wengi pale Lumumba na maeneo mengine wa CCM wanaokesha usiku na mchana kuimba Litania za Masifu na Mapambio niliandika naomba kunukuu

"Karibu Mwita Waitara CCM, Karibu kwenye chama kinachoongoza nchi. Wakati tukilala nje 2015 tukitafuta kura za rais wetu John Pombe Magufuli wewe ulikuwa ukilala nje kuzipunguza..

Hii ndio aina mpya ya siasa zetu, zimebadilika na lazma tukubali kubadilika nazo. Ni siasa nazoweza kuzifananisha na mtu aliyewanyima watoto wake wa kuwazaa chakula na kuamua kuwalea watoto wa jirani.

Wenzetu wamelisoma gape kuwa upande wetu tumekusanyika wale wenye uwezo mdogo kiuongozi. Ni sawa na mtoto anayesoma seminari kuhamia Shule ya Kata lazma awaongoze.

Mpaka kufikia 2019-2020 ngome ya CCM asilia itakuwa imeshatekwa yote na tutakuwa mateka haswa.

Hongereni wapinzani kwa kuivisha viongozi wa taifa hili. Nimeamini ninyi ni tanuru la uongozi nchini.... sisi CCM lazma tujitathimini sana. Tufanye pia na utafiti kuangalia wanachama wa ANC na ZPF kama aina hii ya siasa inaweza kufanyika. Yaani wanachama wao wapoje...

#Unapata wapi Ujasiri wa kuwaita Nyumbu wakati wana uwezo kuliko wewe?
Karibuni sana CCM"

Mwisho wa kunukuu, usimkumbuke Patrobas, wala kina Shonza, usimkumbuke Kafulila wala machali, usimkumbuke Msando aliyepewa kazi ya kuhakiki mali za CCM wala Mwita waitara twende na Mtatiro aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa Sera za CCM na Rais wetu. Huyu naye anatokea Timu iliyopunguza kura za JPM hadi tukaamua kupiga Pushup ili zitoshe. Hawa ndio waliohakisha kwa Mara ya kwanza CCM inaingia madarakani kwa ushindi cini ya asilimia 60.

Ni Julias Mtatiro aliyeitwa nyumbu na vijana wa Lumumba anaukwaa u DC pale mkoani Ruvuma...... Narudia msiwaite wenzenu nyumbu hata kidogo...... Mtag mwanaccm yeyote muimba pambio na litania za masifu. Watapishana na Mtatiro kwa adabu sasa hivi maana anaweza msweka ndani 24 hours.

Kila wazee wa vetting wakichakura kwenye hill jalala la Lumumba wanakutana na wasiokidhi vigezo. Sijui kwa nn CCM inapendwa na wasiokuwa na uwezo huku upinzani ukiwa na vijana very Smart. Hapa ndipo huwa sielewi kuwa CCM inapenda wasiokuwa na uwezo au wasiokuwa na uwezo ndio huipenda CCM.

OLE Mushi
0712702602
 
Write your reply...
tunataka maendeleo na maendeleo hayana chama. hongera JPM
 
Mkuu Ole Mushi asante kwa uchambuzi yakinifu na kumbukizi zako lakini kila unapotokea uteuzi kama huu CCM asilia wanaimba wimbo wao pendwa toka kwa bi Shakira "moyo unalia, macho yanacheka na sisi wakatwa mikia tunaimba pambio letu pendwa lisilochuja" Kaburini ni makao mazuri sana" tukiendelea kuamini kwamba kesho yetu ni bora zaidi.
 
"maendeleo hayana chama " ni kauli inayotamkwa maranyingi na Rais wetu na kuiishi kwa vitendo kabisa. linapokuja suala la maendeleo ya Tanzania Rais haangalii mtu wa kumsaidia kuleta maendeleo hayo. Badala ya kusema fulani kutoka upinzani kateuliwa ina maana CCM hakuna wenye uwezo ni kukosa kufikiri zaidi kwa ajili ya Tanzania na vyeo hivyo si vya wanaCCM tu bali kwa watanzania.

pia, kama mwanaCCM ukumbuke CCM haijaahidi wanachama wake cheo chochote kile hasahasa wanachama ndio wanaiahidi CCM na ndio maana kuna ahadi 9 za wanachama wa CCM na si ahadi 9 kwa wanachama wa CCM hivyo CCM hakina ahadi yeyote kwa wanachama wake.

Tatu, vyama vya siasa si taasisi za kitaaluma mfano NBAA ambazo wanachama wake ni lazima wapimwe kwa uwezo fulani, wanachama wa vyama ni makundi yote ya kijamii. ni kweli CCM inapenda wasio na uwezo na pia inapenda wasio na uwezo kwa sababu ndani ya jamii nzima makundi kama hayo lazima yawepo lakni pia CCM inapendwa na wasomi na wanazuoni wakubwa mfano ni maprofesa na PHD zilizopo CCM ni nyingi kuliko ndani ya chama chochote.
 
Waimba mapambio oyee naona mnaendelea kusugua benchi wakati kina kafulila ,machali ,katambi ,mtatiro wakitembelea vx,akina cocochanel ,magonjwa mtambuka ,mwilapwa bado wanasugua benchi .
 
Anaandika Kada Mtiifu Thadei Ole Mushi.

NI VITA KATI YA WANACCM ASILIA NA WAHAMIAJI?

Na Thadei Ole Mushi.

Wakati Mwita Waitara ailipohamia CCM na Kuukwaa uwaziri akiwaacha vijana wengi pale Lumumba na maeneo mengine wa CCM wanaokesha usiku na mchana kuimba Litania za Masifu na Mapambio niliandika naomba kunukuu

"Karibu Mwita Waitara CCM, Karibu kwenye chama kinachoongoza nchi. Wakati tukilala nje 2015 tukitafuta kura za rais wetu John Pombe Magufuli wewe ulikuwa ukilala nje kuzipunguza..

Hii ndio aina mpya ya siasa zetu, zimebadilika na lazma tukubali kubadilika nazo. Ni siasa nazoweza kuzifananisha na mtu aliyewanyima watoto wake wa kuwazaa chakula na kuamua kuwalea watoto wa jirani.

Wenzetu wamelisoma gape kuwa upande wetu tumekusanyika wale wenye uwezo mdogo kiuongozi. Ni sawa na mtoto anayesoma seminari kuhamia Shule ya Kata lazma awaongoze.

Mpaka kufikia 2019-2020 ngome ya CCM asilia itakuwa imeshatekwa yote na tutakuwa mateka haswa.

Hongereni wapinzani kwa kuivisha viongozi wa taifa hili. Nimeamini ninyi ni tanuru la uongozi nchini.... sisi CCM lazma tujitathimini sana. Tufanye pia na utafiti kuangalia wanachama wa ANC na ZPF kama aina hii ya siasa inaweza kufanyika. Yaani wanachama wao wapoje...

#Unapata wapi Ujasiri wa kuwaita Nyumbu wakati wana uwezo kuliko wewe?
Karibuni sana CCM"

Mwisho wa kunukuu, usimkumbuke Patrobas, wala kina Shonza, usimkumbuke Kafulila wala machali, usimkumbuke Msando aliyepewa kazi ya kuhakiki mali za CCM wala Mwita waitara twende na Mtatiro aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa Sera za CCM na Rais wetu. Huyu naye anatokea Timu iliyopunguza kura za JPM hadi tukaamua kupiga Pushup ili zitoshe. Hawa ndio waliohakisha kwa Mara ya kwanza CCM inaingia madarakani kwa ushindi cini ya asilimia 60.

Ni Julias Mtatiro aliyeitwa nyumbu na vijana wa Lumumba anaukwaa u DC pale mkoani Ruvuma...... Narudia msiwaite wenzenu nyumbu hata kidogo...... Mtag mwanaccm yeyote muimba pambio na litania za masifu. Watapishana na Mtatiro kwa adabu sasa hivi maana anaweza msweka ndani 24 hours.

Kila wazee wa vetting wakichakura kwenye hill jalala la Lumumba wanakutana na wasiokidhi vigezo. Sijui kwa nn CCM inapendwa na wasiokuwa na uwezo huku upinzani ukiwa na vijana very Smart. Hapa ndipo huwa sielewi kuwa CCM inapenda wasiokuwa na uwezo au wasiokuwa na uwezo ndio huipenda CCM.

OLE Mushi
0712702602
Taifa la wajinga
 
"maendeleo hayana chama " ni kauli inayotamkwa maranyingi na Rais wetu na kuiishi kwa vitendo kabisa. linapokuja suala la maendeleo ya Tanzania Rais haangalii mtu wa kumsaidia kuleta maendeleo hayo. Badala ya kusema fulani kutoka upinzani kateuliwa ina maana CCM hakuna wenye uwezo ni kukosa kufikiri zaidi kwa ajili ya Tanzania na vyeo hivyo si vya wanaCCM tu bali kwa watanzania.

pia, kama mwanaCCM ukumbuke CCM haijaahidi wanachama wake cheo chochote kile hasahasa wanachama ndio wanaiahidi CCM na ndio maana kuna ahadi 9 za wanachama wa CCM na si ahadi 9 kwa wanachama wa CCM hivyo CCM hakina ahadi yeyote kwa wanachama wake.

Tatu, vyama vya siasa si taasisi za kitaaluma mfano NBAA ambazo wanachama wake ni lazima wapimwe kwa uwezo fulani, wanachama wa vyama ni makundi yote ya kijamii. ni kweli CCM inapenda wasio na uwezo na pia inapenda wasio na uwezo kwa sababu ndani ya jamii nzima makundi kama hayo lazima yawepo lakni pia CCM inapendwa na wasomi na wanazuoni wakubwa mfano ni maprofesa na PHD zilizopo CCM ni nyingi kuliko ndani ya chama chochote.
Jinga wewe hiyo ni rushwa ya vyeo
 
NI VITA KATI YA WANACCM ASILIA NA WAHAMIAJI?

Na Thadei Ole Mushi.

Wakati Mwita Waitara ailipohamia CCM na Kuukwaa uwaziri akiwaacha vijana wengi pale Lumumba na maeneo mengine wa CCM wanaokesha usiku na mchana kuimba Litania za Masifu na Mapambio niliandika naomba kunukuu

"Karibu Mwita Waitara CCM, Karibu kwenye chama kinachoongoza nchi. Wakati tukilala nje 2015 tukitafuta kura za rais wetu John Pombe Magufuli wewe ulikuwa ukilala nje kuzipunguza..

Hii ndio aina mpya ya siasa zetu, zimebadilika na lazma tukubali kubadilika nazo. Ni siasa nazoweza kuzifananisha na mtu aliyewanyima watoto wake wa kuwazaa chakula na kuamua kuwalea watoto wa jirani.

Wenzetu wamelisoma gape kuwa upande wetu tumekusanyika wale wenye uwezo mdogo kiuongozi. Ni sawa na mtoto anayesoma seminari kuhamia Shule ya Kata lazma awaongoze.

Mpaka kufikia 2019-2020 ngome ya CCM asilia itakuwa imeshatekwa yote na tutakuwa mateka haswa.

Hongereni wapinzani kwa kuivisha viongozi wa taifa hili. Nimeamini ninyi ni tanuru la uongozi nchini.... sisi CCM lazma tujitathimini sana. Tufanye pia na utafiti kuangalia wanachama wa ANC na ZPF kama aina hii ya siasa inaweza kufanyika. Yaani wanachama wao wapoje...

#Unapata wapi Ujasiri wa kuwaita Nyumbu wakati wana uwezo kuliko wewe?
Karibuni sana CCM"

Mwisho wa kunukuu, usimkumbuke Patrobas, wala kina Shonza, usimkumbuke Kafulila wala machali, usimkumbuke Msando aliyepewa kazi ya kuhakiki mali za CCM wala Mwita waitara twende na Mtatiro aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa Sera za CCM na Rais wetu. Huyu naye anatokea Timu iliyopunguza kura za JPM hadi tukaamua kupiga Pushup ili zitoshe. Hasa ndio waliohakisha kwa Mara ya kwanza CCM inaingia madarakani kwa ushindi cini ya asilimia 60.

Ni Julias Mtatiro aliyeitwa nyumbu na vijana wa Lumumba anaukwaa u DC pale mkoani Ruvuma...... Narudia msiwaite wenzenu nyumbu hata kidogo...... Mtag mwanaccm yeyote muimba pambio na litania za masifu. Watapishana na Mtatiro kwa adabu sasa hivi maana anaweza msweka ndani 24 hours.

Kila wazee wa vetting wakichakura kwenye hill jalala la Lumumba wanakutana na wasiokidhi vigezo. Sijui kwa nn CCM inapendwa na wasiokuwa na uwezo huku upinzani ukiwa na vijana very Smart. Hapa ndipo huwa sielewi kuwa CCM inapenda wasiokuwa na uwezo au wasiokuwa na uwezo ndio huipenda CCM.

OLE Mushi
 
Jinga wewe hiyo ni rushwa ya vyeo
unataka kusema wapinzani hawastahili kufanya kazi kwenye serikali ya CCM? Kama hawastahili basi utakuwa umehalalisha mwenyewe kuwa upinzani ni mzigo na yafaa ufutwe na kama wanastahili, je kuna ubaya gani Mtatiro kuwepo?
 
Tanzania wako watu wengine ni wa ajabu sana sana. Waitara alifikia cheo cha katibu mkoa wa CCM na fikiri uv-ccm, Khalafu umuite mhamiaji.
 
Hakuna vita yoyote hapo wanapiga porojo tuu. ccm sio wa kuwaamini ni kwa naneno ya bali hata matendo yao.

Ni haohao wanaoshangilia uovu wote wanao fanyiwa wapinzani ili kuwalazimisha wahamie ccm.
 
Back
Top Bottom