Ni vita: Lowassa, Sumaye, Mwandosya - Madai ya matumizi ya fedha chafu yaibuka; Udini na Ukabila

Hicho ni kiswahili usichokijiua ni nini? kumbe nawe ni kilaza kama Ritz? ok huwa sichoki kuwapa darasa watu kama wewe ndio JF, Malaya ni mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani, ama hujaelewa tu? turudi kwenye hoja ya mikaelPAwenda si hatuhitaji vihoja

Asante mkuu kwa jibu lako,umenifurahisha sana
 
Kuna wanawake kadhaa Tanzania wenyewe uwezo wa kuwa rais, ntafurahi sana kuona Tanzania inaongozwa na mwanamke mwenye uwezo na sio atakayewekwa ili atumiwe.

For sure Lowassa is not presidential and he is NOT going to be one.

Angalia kote alikofanya kazi uone dhuluma, ufisadi, milungula, vitisho, dharau na uozo. Angalia alipokuwa waziri wa maji na ardhi, waziri mkuu kaulize utendaji wake. The mpe urais halafu multiply by 1000

Sielewi kwa nini WaTanzania ni wasahaulifu kiasi hiki
 
Baada ya mechi zao zao za viwango vy achini na zinazowachosha kisiasa,watakuja anguka mbele ya CDM waikiwa hoi.Kama Sumaye kaapa wataapa wengi sana na siku zinapokwenda disperation ya CCM tunaijua, hawataacha neno kushambuliana kuanzia la udini ,ufisadi, ukanda, ukabila na mengine mengi sana ambayo hawa waroho na vichwa maji hawajui jinsi wanvyoiweka rehani nchi.Mwsiho was iku hakuna mgombea wa CCM atafika akiwa safi.Hakuna endorsement nzuri ya ufisadi kama itakayotoka nadniaya CCM wenyewe.

Mtu anaeamini kuwa jinsi wanavyonyukana sasa hivi huko mbele watakuja kupatana anajidanganya mwenyewe. Mbona Mbona kina Mangula na Mashishanga bifu liliendelea hadi leo?
 
Lowasa, sumaye wote wanatoka kaskazini hivyo hawafai kuwa marais, kwa mujibu wa uvccm-mkoa wa pwani!
Tupo pamoja.. na huu mtandao haramu umejenga haya mambo kwa miaka nenda rudi,na hata CDM kuna watu kama hao ambao wanaipenda CDM ila ile mitazamoa ya kuwachukia watu wa kaskazini inawapa taabu sana.Wataelewa tuu kama matiafa mnegi yalivyojikuta kuwa wayahudi ni daily reality katika kila sector. Ni kama mbaguzi aliyekuwa kaiwabania wacheza basket black sasa hivi huwezi kuwa na timu bila majority black.

Northerners simply wapo kila mahali na kila sector kwa ushindani mkubwa,na wanazaliwa wengi wanaelekea kujaza kila empty hole.Nadhani wawekeze kwingine kuliko huku kuwa anti-Northerners.Tangu uhuru hii vita haijfanikiwa sasa ya nini wao kuendelea irithi?

CCm na akina Zitto wajiandae kukutana haya wakienda Kaskazini kabla ya kukuta maswali kama haya Kule ukanda wa Mbeya.
 
CHADEMA as it is today, is the biggest in Tanzania and Africa. To whom much is given; much is expected in contemporary Tanzania politics.CHADEMA must protect Tanzania's vision and dream. All other political parties are interested in weakening the centre and tearing Tanzanians apart. It is only CHADEMA that has the potential to unify and integrate the unity of this country; all other parties are bent on disintegrating the country.

Mkuu, Agree with you sana na Ben kama Ben huwa nakukubali sana, wewe ni kichwa Tanzania na Afrika, Tatizo lako ni huyo rafiki yako ambaye haya maneno hapo juu hataki kuyaamini, anajiona yeye yuko juu ya CHADEMA, na wewe hutaki kusimama wewe kama wewe bila yeye, hutoamini siku ukisimama wewe kama wewe utavyopata support.
 
Nimefarijika sana na bandiko la Aweda jinsi alivyopambanua hoja kama wanavyopambanua watalaamu wa siasa kwenye mashirika makubwa ya habari duniani.Vilevile nimefurahishwa sana machango ya Ame kupitia bandiko na.84,Saanane na.87 na Bongolander na.101.Hakika michango mingi itafungua vichwa vya Watz kufikiri kwanza kabla ya kushabikia watu binafsi badala ya mitazamo na hoja zenye tija.

Nimepitia mara nyingi hoja za wandishi wanaoshabikia watu badala ya hoja/mitazamo na nimegundua hali hiyo inafanywa makusudi kwa malengo ya manufaa binafsi na kuviza bongo za watanzania wafanye maamuzi ya kuchagua viongozi bila tafakuri ya kina.Nina imani kabisa hawa wanasiasa au wafanya siasa wanaotajwa au kudhaniwa wana nguvu za kisiasa ni watu ambao uwezo wao kujenga hoja ni wa kutia shaka.Nimeshuhudia mara nyingi midahalo iliyofanyika mwaka jana iliyokuwa inachokoza mada za mustakabali wa nchi wanasiasa hawa hawakuwahi kujitokeza ili tuwaelewe wanasimamia nini.Mimi nashauri tuwashawishi mediahouse kuwaalika hawa wanasiasa wanaotajwa sana kwenye public debate tuwasikie na kuwapima sawa hoja zao na mwishowe tuwe na nafasi nzuri ya kuamua uongozi tunaotaka kuijenga nchi hii nzuri iliyojariwa rasilimali tele.
 
AWEDA uchambuzi wako makini sana(kama hujafanya copying and pasting lakini)
Binafsi naona kuna uwezekano mkubwa sana wa SUMAYE kutafuta who is around my enemy to collaborate with...na hii inaweza kumuangukia mtu yeyote hasa SITTA...
Pia naona JK si kwamba ana kundi lolote ila ni mpima upepo anyetaka kuona ni nani mwenye uelekeo wa maana ili amuunge mkono...
Kuna taarifa za chini chini kuwa JK anamuunga mkono MEMBE na kuna nyingine hasa zile za mapacha watatu...kifupi JK hajulikani yuko kundi gani
ila mwisho wa siku LOWASSA bado ana nguvu kubwa mno ndani ya NEC... labda tusubiri tuone hayo mabadiliko ya NEC na katiba yao yataleta upepo gani mpya wa kisiasa

All in all umechambua vyema sana hii hoja yako na uko makini........

Mkuu uchambuzi wa ziada nimekubaliana nao. Au kwa maneno mengine mawazo yako yamefanana na yangu. JK ni wazi yuko sambasamba na Membe, na ningependa niongezee wazo langu la ziada hapo. JK ana mpango wa kuwaweka akina mama nafasi za juu zaidi, wale walioonyesha kuwa na uwezo zaidi. Nahisi Uraisi Membe halafu wamepanga Migiro kuwa Makamu wake .... labda (kama hatutakwenda kimazowea zaidi), na Prof. Tibaijuka kuwa Waziri Mkuu? Lakini nina hakika nafasi ya Uraisi au Makamu inategemewa kwenda kwa mwana mama. Muundo wa Makamu wa kwanza na wa Pili unaweza pia kurudi. Kwa maana hiyo JK hapo ameshajiwekea protection. Wakina Mama wenye vyeo vikubwa serikalini hawawezi kamwe kumgeuka JK. Chunga sana hapo.
 
Hicho ni kiswahili usichokijiua ni nini? kumbe nawe ni kilaza kama Ritz? ok huwa sichoki kuwapa darasa watu kama wewe ndio JF, Malaya ni mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani, ama hujaelewa tu? turudi kwenye hoja ya mikaelPAwenda si hatuhitaji vihoja

ahaaa mkuu bado kiswahili kinakusumbua malaya wapo wa aina mbili yupo malaya wa tabia ni kuzaliwa nayo hata umpe nini haridhiki atakwenda kinyume na tabia, na yupo malaya wa shida anafanya umalaya ili apate kukidhi mahitaji yake akipata bwana wa kumtimizia umalaya anauweka kando; kilaza umesikia tusiharibu twende kwenye darsa la lugha! Hapo nilitumia lugha ya kisanii kwa kujadili lugha ya makundi ndani ya CCM; huku akidai Chadema hakuna makundi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Wote wawili, Lowasa na Sumaye, hawatufai WATANZANIA kwa nafasi hiyo ya URAIS wa JMT. Ziangalieni hotuba za Mwalimu zinazorushwa mara kwa mara na ITV kuelekea maadhimisho ya kifo chake tarehe 14/10 ijayo.


Jamani mbona Mna cross around the bush? The fact ni kwamba ccm nzima haitufai na ili tufanikiwe inabidi vaa gwanda iende sambamba na vua gwanda otherwise ccm itadumu milele
 
Mkuu Chama
Chadema haina makundi yoyote.Unaweza kunitajia makundi walau 3 Chadema kama yapo na wafuasi walau kumi kwa kila kundi? Jibu ni Hapana.Ila mimi ninaweza kukutajia makundi 4 au 5 yaliyoko CCM na wafuasi wa kila kundi.Hiyo ndiyo tofauti kubwa iliyoko.Nikuhakikishie CDM haitakaa iwe na makundi,katiba imeeleza wazi juu ya hilo na atakayebainika kuanzisha kundi atazimwa mara moja.Hiyo ndiyo Chadema mkuu wangu.

Ahaaa haaaa mkuu molemo chukua kajivacation hata ka wiki moja na akili imechoka mkuu !!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ahaaa haaaa mkuu molemo chukua kajivacation hata ka wiki moja na akili imechoka mkuu !!

Chama
Gongo la mboto DSM

chama nasubiri kusoma hoja zako katika uzi huu. Tangu asubuhi nakuona unamwaga mahoka tu hapa!
 
Last edited by a moderator:
chama nasubiri kusoma hoja zako katika uzi huu. Tangu asubuhi nakuona unamwaga mahoka tu hapa!

Mkuu Mwita
Inakuwa ngumu sana kudibate na watu wanaodibate mapenzi badala ya hoja; kama mnataka tujadili hoja mapenzi wekeni kando tujadili ukweli! Siasa za majimboni hazionyeshi taswira nzima za kisiasa za wahusika; kumbuka watu wanaopiga kura hawazidi 1000; kushindwa kwa Sumaye Hanang si kigezo cha kusema hakubaliki na watanzania au kushinda kwa Lowasa Monduli si kigezo cha kusema anakubalika na watanzania; haya ni mambo ya mitandao tu mkuu siwezi kuyatumia kama kigezo cha nani anakubalika au hakubaliki!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom