Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada.
Nikiwa kijana niliekulia mkoani na kuja jijini kuanza maisha. Ubora wa maisha kwa sehemu kubwa umepungua sana kwa kukosa radha ya rafiki wa karibu na mkweli.
Hali hii imekua ikinikabili mwaka wa sita sasa toka rafiki yangu wa toka utotoni kufariki kwa ajali ya bus akiwa kwenye harakati za utafutaji. Mungu ampe pumziko jema.
Namiss kuwa na rafiki ambaye yuko huru kunitafuta muda wowote pasina masharti. Mtu ambaye ramani azisomi ila anakuwa around kukusapoti hata kwa maneno ya utani tu. Mtu ambaye mnaweza zua msala kitaa afu akatoa sapoti as if yeye ndo msala unamhusu.
Kwa majibu ya JF najua mtasema tafuta mpenzi. Ukweli ni kuwa niko kwenye relationship and I'm still missing such company ya kiume.
Nimekua nikijichanganya Church ila no member ambao tuna match hobbies and life perspectives.
Mtaa ninaoishi imetokea una wazee wengi kuliko vijana wa kiume ambapo Kwa status yangu hakuna ambao tuna match lifestyle.
Kazini sitamani kuwa na rafiki wa kufuatana na kujuana private life kwani sisi sote based on our JDs hatupaswi kuaminiana kiihivyo.
Situation hii inanifanya kumkumbuka rafiki yangu . Najua kazi ya Mungu haina makosa ila najiuliza why ulimchukua mshikaji wangu mapema.
Wakuu ebu tujadili ni namna gani unaweza mpata rafiki wa kweli?
Karibuni kwa michango.