chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,695
- 4,947
Kwa hizi kauli za mbowe ''hatuwezi kusubiri mtu'' na ''ambao hawajaridhia watusamehe'' zinaonesha wazi kabisa kabisa Mbowe ni mwaribifu wa harakati za mageuzi.
Hivi ni mbowe huyu huyu ndiye yule au kuna uwalakini?
Hivi leo Mbowe anaweza kukubari Dr Slaa aendeee? Twende kwenye uchaguzi bila Dr. Slaa?
Bullshit! I will never Trust Mbowe hata kidogo aiseee. Wafanyabiashara ni watu wa kuogopa sanaaa
mi nimeshawaachia lichama laoTumeambiwa tuwe watulivu....acha tuone....ila si kila mtu anafikiri kirahisi rahisi....mtatia aibu ya mwaka msipotumia akili kisawasawa.....
mi nimeshawaachia lichama lao
Kwa hizi kauli za mbowe ''hatuwezi kusubiri mtu'' na ''ambao hawajaridhia watusamehe'' zinaonesha wazi kabisa kabisa Mbowe ni mwaribifu wa harakati za mageuzi.
Hivi ni mbowe huyu huyu ndiye yule au kuna uwalakini?
Hivi leo Mbowe anaweza kukubari Dr Slaa aendeee? Twende kwenye uchaguzi bila Dr. Slaa?
Bullshit! I will never Trust Mbowe hata kidogo aiseee. Wafanyabiashara ni watu wa kuogopa sanaaa
Who is Slaa? Slaa level yake ni ubunge, urais ni maji marefu kwake
Dr Slaa hawezi hata siku moja akadharauriwa na chama mbowe au baraza kuu yeye ndie amejenga msing imara wa chama kwa principle zake alizoziweka ndivyo chama kitakavyokuwa imara hata mtei mbowe slaa wasipokuwepo maamuzi yakifanywa na vikao halali kinachofuatwa ni utekelezaji Dr mara nyingi amesema vikao ndio mwongozo wa maamuzi ya chadema i hope yupo akiwatakia heri makamanda aliowajenga kisiasaUko sawa mkuu. Mm toka habari hizi zianze kuvuma nimekuwa sina amani ya moyo. Leo nimesikia upuuzi huu eti kamati kuu imeamua? Huyu Jamaa ni mpuuzi sijawahi ona. Anamdhalau Dr? Bila Dr Chadema ingekuwa hapa? Siwezi shabikia siasa tena. Labda itokee miujiza Dr arudi. Na kura yangu wameikosa bora nikalala zangu Nyumbani. Kumbe tukiwapokea kwa maandamano wanatuona mazuzu?