Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,604
- 1,704
- Thread starter
- #21
basi bora kuminimize risk kwa portfolio ile unsystematic risk yote inakuwa hamna kadiri unavyoadd security mwisho wa siku unajikuta return kubwa risk ndogo
mkuu unasoma actuarial science nini? naona huko mna kanuni kali za portfolio analysis ila zinafanya kazi kweli? sasa unaminimize vipi risk kwa kulazimisha penzi na kuongeza wivu?