Ni utundu gani unatumika kunloak password t

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
62,610
Reaction score
112,358
Wadau naomba mwenye uelewa na hili anisaidie ni nini kinafanyika, ni hivi kuna mtu ana uwezo wa kufunguwa simu yangu hata nikibadili password mbalimbali lakini yeye anaifunguwa bila shida.

Sasa naomba wajuzi mnielimishe simu yangu ameingiza program gani ambayo mimi siioni inayompa yeye access ya kufunguwa simu yangu hata nibari vipi password? Maana sina faragha sasa.
 
Kwanza ungesema unatumia simu aina gani
 
Kuna principle fulani hua unafundishwa ili ku unlock password za mtu fulani. Iys very simple sanaa.
First of all
-Unamsoma mtu anapenda nini. Mfano anapenda eikei (AKA) yake,Jina la mpenzi, tarehe ya kuzaliwa,Namba fulani,alama fulani,Namba ya simu,Jina lake.
Ukishajua hili baasi umemuweza.
Mm nilijaribu kumsoma dingi angu anapenda nn nikamguandua password za benk,fb Page yake,Email etc..
 
Hapo hapo nataka kukuuliza hiyo uliyosema ndiyo hutumika kwa mtu kudukua mawasiliano yani namaanisha call na sms?
 
Alichokusema mdau hapo juu. Ni kweli hata mimi patterns nyingi huwa nashangaa naziotea. Hata password.

Nishafungua simu nyingi mpaka huwa wanashangaa nazijuaje password zao.
 
Mfano wanawake pattern zao nyingi huwa ni nyepesi tu. Ukiwa mtundu unaiotea kirahisi tu.
 
Hapo hapo nataka kukuuliza hiyo uliyosema ndiyo hutumika kwa mtu kudukua mawasiliano yani namaanisha call na sms?
Swala la kuweza kuweza kugundua password za mtu bila yy kukupatia huo ni Udukuzi na nikosa kisheria.

Mkuu upande wa kupata calls toka kwa simu ya somebody phone and other feature hilo ni swala lingine kidogo.
Kama wataka kupata sms,calls,Others jaribu kudanlod hii almighty Text App.
 
Cc.
Palantir njoo utoe elimu kidogo..
1. Simu aina gani!?.
2. Anafunga password za vitu. vinavyomuhusu (birthday, miaka, herufi e.g M-pattern)
3. Hatumii password ngumu.
4. Pattern & Pin sio ulinzi mzuri kuliko Passwords.
5. Anapokuwa akiifungua huyo mtu yupo karibu kuona kinachoandikwa.
Aandike password hii (w@t07A - matolla) halafu arudi sema ikifunguliwa!.
 
Yani me mwenyewe huwa wanashangaa sana wee jamaa unajuaje. Hata akibadili naijua tena.
Me nikifunga huwezi ifungua labda kwa PC!.. Hao jamaa zenu hawapo vizuri katika kumbukumbu inawafanya waweke password simple.
 
Swala la kuweza kuweza kugundua password za mtu bila yy kukupatia huo ni Udukuzi na nikosa kisheria.

Mkuu upande wa kupata calls toka kwa simu ya somebody phone and other feature hilo ni swala lingine kidogo.
Kama wataka kupata sms,calls,Others jaribu kudanlod hii almighty Text App.
kuna Jamaa yangu kuna mtu anadukua mawasiliano yake ya kawaida namaanisha call na sms,amejaribu kubadilisha email na mpaka simu lkn imeshindikana
 
Kuna principle fulani hua unafundishwa ili ku unlock password za mtu fulani. Iys very simple sanaa.
First of all
-Unamsoma mtu anapenda nini. Mfano anapenda eikei (AKA) yake,Jina la mpenzi, tarehe ya kuzaliwa,Namba fulani,alama fulani,Namba ya simu,Jina lake.
Ukishajua hili baasi umemuweza.
Mm nilijaribu kumsoma dingi angu anapenda nn nikamguandua password za benk,fb Page yake,Email etc..
Mwanangu kumbee ndiyo maana pesa zangu benki zinapungua kila uchweo!
 
1. Simu aina gani!?.
2. Anafunga password za vitu. vinavyomuhusu (birthday, miaka, herufi e.g M-pattern)
3. Hatumii password ngumu.
4. Pattern & Pin sio ulinzi mzuri kuliko Passwords.
5. Anapokuwa akiifungua huyo mtu yupo karibu kuona kinachoandikwa.
Aandike password hii (w@t07A - matolla) halafu arudi sema ikifunguliwa!.
Yaaap tunashauriwa kutumia Strong and secure Password. Nyepesi kwoko ngumu kwa wengine.
Weka hadi#€¥₩@. Tatizo watznia hawana kumbkumbu hata paswed ya jina lake anasahau.
 
kuna Jamaa yangu kuna mtu anadukua mawasiliano yake ya kawaida namaanisha call na sms,amejaribu kubadilisha email na mpaka simu lkn imeshindikana
Abadili mfumo wa paswed zake aweke hadi€£¥₩@ ikishindikana aonane na IT
 
Back
Top Bottom