Ni Utapeli au mimi .............???

Ni Utapeli au mimi .............???

sweet poison

Senior Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
104
Reaction score
15
Habari ya ijmaa ndg wadau! mm ni mwanachama wa BIMA YA AFYA nimepita hospitali nyingi hapa nchini kila ninapoandikiwa ile form ya matibabu garama yake nimeona ikiandikwa bei tofauti mfano.nilienda hospitali 1 kubwa ya mkoa fulani niliandikiwa shl20000.cha kushangaza vipimo vyangu vilionesha natakiwa kuvaa miwani nikatakiwa kulipa gharama nyingine ingawa serikali kila mwezi inanikata fedha nyingi tu.naomba ufafanuzi kuhusu bima,je mwanachama anaukomo upi kwenye matibabu yake.
 
wanasemaga mawani kama ubishoo jilipie!!!!!
dah sijui wanakata pesa zetu kwa nini kama wanaanza kubagua matibabu
 
Back
Top Bottom