wapo chini ya average mkuu, hii ni kweli wala si utaniMkuu mbona wanaweza lakini hawako vizuri
Aaah wapi! Siku hizi ligi mtindo mmoja. Tena magari ya kiume, na tunapaki kisawasawa!
Hiyo inaitwa differentiation
WApe Manyu Wadada wa daslam wanaolinga kwenye vi auto daily we!
better learn how to ride em manual,zina raha yake!